Sex According to Your Astrology Sign

Sex According to Your Astrology Sign

hahaa hapo nimekumbuka "hadithi" tu apa nasubiria ijumaa ifike, sijui safari hii itakuwa inahusu nini...ila mambo ya hadithi zako kuishia na sijui Ukimwi mara Gono uache saa ingine we like happy ending bana

Maisha yangu ni majanga shem...labda ndoa yangu na mwallu ndiyo inaweza kuwa the only happy ending story from me!!!
 
Last edited by a moderator:
Maisha yangu ni majanga shem...labda ndoa yangu na mwallu ndiyo inaweza kuwa the only happy ending story from me!!!

hahahaha my hinest opinion would be 'usilazimishie mambo" ndo maana unakuwaga na hizo ending za namna hiyo, tulia tu utampata....so mwallu kama ni beyond your reach, usijiimpose yasije yakawa tena ya "velentina'...am seriously considering other offers kutoka kwa kina Ngosha
 
Am trying to read between lines here...!
 
habari za asubuhi baba paroko na ankal wangu Kaizer...
hahahaha my hinest opinion
would be 'usilazimishie mambo" ndo maana unakuwaga na hizo ending za
namna hiyo, tulia tu utampata....so mwallu
kama ni beyond your reach, usijiimpose yasije yakawa tena ya
"velentina'...am seriously considering other offers kutoka kwa kina
Ngosha
 
Last edited by a moderator:
aisee kijana wangu OLESAIDIMU amini nakwambia ukifata hii makituunaeza kuachana na mkeo hivi hivi lol

Sijui Karucee anasemaje hapa

Kaka hii mambo kuiacha ipite bila kujua fomyula yake hujanifunza hivi,uliniambie nidadavue kila kitu ili kupata uhakika wa chaguo sahihi!!!!!!

Ha ha ha ha aaaahuyo Karucee balaa lake sio dogo humu kwa nyota
 
Last edited by a moderator:
Kaka hii mambo kuiacha ipite bila kujua fomyula yake hujanifunza hivi,uliniambie nidadavue kila kitu ili kupata uhakika wa chaguo sahihi!!!!!!

Ha ha ha ha aaaahuyo Karucee balaa lake sio dogo humu kwa nyota
When was the last time you got punched?
 
Last edited by a moderator:
yangu iko 90% correct....unajua hii thread imekuja wakati muafaka kule CHIT-CHAT kuna birth date za wana MMU KARIBU WOTE kwa hio unaenda kule unaangalia date ya mtu unakuja huku kumsoma nyota yake.....

Daaadeki zako.
 
ahhahahahahahahahahahah duuuuuuuuuih!!!
hatariiiiiii!
ukisikia kisu kimegonga mfupa ndo hii!!
sikuwahi kufatilia haya makitu ya nyota!!
mweeeeeeh!!
weka mbali na watoto.
duh!!
Umeona eeeh,hongera sana ,kwa habari zaidi karibu Magomeni Mwembechai ,tumerithishwa maujajnja haya !
 
siku zote huwa nadharau hizi habari za nyota sijui nn!!
Ila leo!!leeeeeeeeo!
Daaaaaaaaaaamn!!
Haiwezkani bana
sa ndo nn?
Are they this real??
kama unasoma bibilia unafikiri Mamajusi waliona nyota ya Yesu walikuwa kina nani ! si hawa2 kina Sheikh Yahaya (rip)
 
Trusting you are wellooh!
Hahaaa. na huu ubachelor kisa cha kuanza kuloweka mashuka uthiku uthiku ni nini.
Mambo ya dream

Best usiulize hilo swali.na usiendelee kuimagine
utaota uthiku oh!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom