Sex According to Your Astrology Sign

Sex According to Your Astrology Sign

Eeee!
Ndio thababu thku nyengine unacomment uzombie!!!
...
Haya makitu yanaukweli mkubwa sana! But sijang'amua kwa nini hizi tarehe za kuzaliwa zinareflect na matendo ya watu!
Sjui unaweza kunisaidia mausiano yaliopo.

I set people right.
 
Mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh,

Ahsante mdogo wangu!!

Babu DC!!

ahahhahhahahahaha babu poyeeeeeh!
wamekutenda kitendo sicho!
hawa wajukuu hawana reservetion hata kwa babu ahahahahaaha
sasa babu mi ndo mjukuu wako mkubwa ujue!
tena unayependezwa nae
ninong'onezapo nyota yako.
ahahaha

Mjukuu DC
 
ahahhahhahahahaha babu poyeeeeeh!
wamekutenda kitendo sicho!
hawa wajukuu hawana reservetion hata kwa babu ahahahahaaha
sasa babu mi ndo mjukuu wako mkubwa ujue!
tena unayependezwa nae
ninong'onezapo nyota yako.
ahahaha

Mjukuu DC

Labda kama bibi anaijua...mtwangie basi kwenye ule mtandao wa watu wazima!!

Babu DC!!
 
Males like to rule....hmmm.

Hahahahaha. .. nilikuwa na wachina fulani juzi nikawatajia mwaka niliozaliwa, kwa mujibu wa calendar ya kichina ni mwaka wa farasi... rulers
 
Khaaaa yaani mtu mzima na nguo zako halafu anatokea mtu ghafla anakuongelea as if kawahi kukula deo!!!!!
si ndo hapoooooo!
yan hakyanani mi kaacha kuweka jina langu tu na exact tarehe!
kama sio kawahi kunila deo nn??
af maninest zake kaaangusha bomu af huyooo kaishia!!!
mfyuuuuum zako mleta mada!!
 
Back
Top Bottom