Sex 4 grades: Binti achanganyikiwa.......

blaine n kurt you are dead right but that is Kenya and gal just wants the lecturer to get her grades "right" without peeling herself to his amorous advances............
i should have read the link :<. she should still try it though (getting it on tape), it will be very difficult to cover up if she makes it public unless they decide to 'Ulimboki' her, hata kama hatafukuzwa at least ataweka doubts to the lecturer
 
Kufeli masomo si kufeli maisha

Mpita Njia tatizo ni yeye ndiye anamchokoza mwalimu wake anataka vya dezo bila ya kuvagharimia................angeliyajua haya uliyoyasema angeendelea na kuswaga maisha yake bila ya zengwe.........
 
Last edited by a moderator:
Hakuna vya bure siku hizi yeye achague tu kusuka au kunyoa!

Purple gharama yake yaweza kuwa kauziwa gunia la miwaya bila ya kujijua.........
 
Last edited by a moderator:
Mpita Njia tatizo ni yeye ndiye anamchokoza mwalimu wake anataka vya dezo bila ya kuvagharimia................angeliyajua haya uliyoyasema angeendelea na kuswaga maisha yake bila ya zengwe.........
Rutashubanyuma, hivyo anavyofanya inaweza isiwe vibaya kwani nayoni aina fulani ya akili. Inweza kuwa uwezo wake kiakili ni kumshawishi mwalimu
 
Last edited by a moderator:
Rutashubanyuma, hivyo anavyofanya inaweza isiwe vibaya kwani nayoni aina fulani ya akili. Inweza kuwa uwezo wake kiakili ni kumshawishi mwalimu
[MENTION]
Mpita Njia[/MENTION] maadili naona yametupwa kapuni kwa ujira mdogo wa mkate.........
 
i should have read the link :<. she should still try it though (getting it on tape), it will be very difficult to cover up if she makes it public unless they decide to 'Ulimboki' her, hata kama hatafukuzwa at least ataweka doubts to the lecturer
[MENTION]
Blaine n Kurt[/MENTION] spot on...............
 
Hivi maisha ni digree,diploma na sijui mastaz,nje ya hapo hakuna maisha?

Eiyer tatizo la vijana wetu kila mmoja anataka awe kibosile bila ya kuvuja jasho......
 
Last edited by a moderator:
Muambie atoe tu, ila ajiandae kutoa apate kazi na kupata kila promotion kwa kyupi
Kupanga ni kuchagua
 
Eiyer tatizo la vijana wetu kila mmoja anataka awe kibosile bila ya kuvuja jasho......

Watake radhi wahusika!
Sasa mkuu hiyo anayotakiwa kufanya si inatoa jasho au?. Mkuu Kuna degree nyingi tunaziona zinapatikana nje ya vitabu, na zinatokana na shughuli ya mtu. Hivyo anatakiwa ajikite hukohuko.
 
@Rutashubamanyuma iwe itakavyokuwa hiyo ni rushwa
haijalishi anapewa kitu gani hiyo ni rushwa ambayo inatolewa kwa malipo ya ngono ili binti afaulu. Maana tayari kuna masharti asipompa jamaa anamfelisha whether binti hata ajitahidi tahidi aandike anachokijua
Na ni udhalilishaji pia maana kumwambia kuwa hitofaulu hata ufanyeje mpaka utoe mwili wako
Na je ni mtaalam gani anazalishwa hapo kwa hiyo degree ya kuvuana nguo
Unafikiria ni mtaalam gani atatoklea hapo iwapo tuu hata uwezo darasani hana ila kwa kutoa rushwa ya ngono anafaulu
 
Rutashubanyuma nafikiri ni vyema akitambua kiwango cha akili yake and learn how to deal with that pia kama Profesa kamdhalilisha anapaswa kumripoti na pia awe na somekind of evidence to back up her claims....to me it seems anagonganisha ugumu wa mtihani na kutoa penzi, why? Ni kama vile anaconsider kutoa penzi ili a pass
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom