MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 31,760
- 48,410
Watu milioni 30 wamedungwa hio chanjo hapo Uingereza, wamekufa 7 tu tayari watu wanasema ni hio chanjo. hakuna factors nyengine? Siku hizi watu hawatumii dawa wanatumia chanjo tu? hawali kitu wanakula chanjo tu? magonjwa yaliopo saivi hayampati mtu bali ni chanjo tu ndio chanzo?
Chanjo ni set of instructions for your immune system to learn how to fight the virus
Watu wanatafuta kila kitu cha kutetea maamuzi ya kijinga ya kutochanjwa.....