Services And Products Of HALOTEL

Today-20160426.jpg

Service Introduction

HALO FUN
is an entertaining and enjoyable mobile portal that offers unlimited mobile games such as shooter, racing, action, traditional, adventure, strategy etc. It brings enjoyments and entertainments, through playing unlimited verities of games such as shooter, racing, action, strategy, traditional, adventure…

How To Use HALO FUN Service?

ð You can subscribe to the service by:

v WAP Channel: Access http://halofun.co.tz for registering the service.

v SMS Channel:

ü Send an SMS “ON” to 15736 for registering the Daily package.

ü Send an SMS “ON30”to 15736 for registering the Monthly package.

ð And then visit http://halofun.co.tz for service access.

Service Fee

ð The service charges now are FREE up to 30th April 2016.

ð Charges after promotion will be

v Daily package: 150 Tsh/Day

v Monthly package: 1,500 Tsh/Month

Join With Us

ü Facebook: VAS HALOTEL

ü WhatsApp: 0627 942 367

ü Email: Vas@Halotel.co.tz
 
Nilitegemea mngeweka services zenu pamoja na products mlizonazo!

Sio siri kuna baadhi mmewapusha na vilema vya kuanguka toka kwenye miti na wengine mmewaepusha kugongwa na nyoka kisa tu kuhangaika kutafuta mtandao
 
Kwenye internet Nawaelewa ila lugha unayotumia hapa sio wote tunaweza ielewa tumia lugha ya taifa wengine tunaweza shindwa uliza maswali juu ya hivyo unavyoleta.
 
View attachment 342585

Service Introduction

HALO FUN
is an entertaining and enjoyable mobile portal that offers unlimited mobile games such as shooter, racing, action, traditional, adventure, strategy etc. It brings enjoyments and entertainments, through playing unlimited verities of games such as shooter, racing, action, strategy, traditional, adventure…

How To Use HALO FUN Service?

ð You can subscribe to the service by:

v WAP Channel: Access http://halofun.co.tz for registering the service.

v SMS Channel:

ü Send an SMS “ON” to 15736 for registering the Daily package.

ü Send an SMS “ON30”to 15736 for registering the Monthly package.

ð And then visit http://halofun.co.tz for service access.

Service Fee

ð The service charges now are FREE up to 30th April 2016.

ð Charges after promotion will be

v Daily package: 150 Tsh/Day

v Monthly package: 1,500 Tsh/Month

Join With Us

ü Facebook: VAS HALOTEL

ü WhatsApp: 0627 942 367

ü Email: Vas@Halotel.co.tz
Ur the best real
 
We really appreciate for opening this thread as we customers can now ask a number of questions regarding your matchless network service provision which has been commended by many people in Tanzania.

My question is simple. Which number should we use to contact and talk to your customer care representative for immediate help? I have often tried number 100 to do so but always my attempts have been in vain.
 
Jibuni maswali ya wadau wenu tafadhali! Huu uzi inabidi muuweke hapa kwa kiswahili ili uweze kueleweka na wengi zaidi!
Nawapongeza sana kwenye net mpo vizuri mno,
 
Nilitegemea mngeweka services zenu pamoja na products mlizonazo!

Sio siri kuna baadhi mmewapusha na vilema vya kuanguka toka kwenye miti na wengine mmewaepusha kugongwa na nyoka kisa tu kuhangaika kutafuta mtandao
Mimi bado nahangaika,nikiwa home internet yao haina tofauti na ya tigo,niliwapigia wakachukua information kadhaa za eneo nilipo wakasema watakuja kufanyia kazi,still now internet ni very poor,niko mjini,nikitoka hapa home hatua 50 hivi napata net fresh,lakini nikiingia home kwangu ni majanga. Net inashika na kukata kabisa. Sijui shida ni nini wadau.
 
Mkuu pole kwanza kuendelea kupata taabu katika huduma za simu!

Vuta subira na naamini hawa watu wameingia kwenye mkataba na serikali kuhakikisha mtandao unapatikana kila sehemu ikiwemo shule zote haijalishi za vijijin au mjini
 
Back
Top Bottom