Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 61,023
- 36,880
Si
SiMu zingine zinaanza kue exp may angalia yako ishanusa harufu ya tcra Mpwa badilisha simuMimi bado nahangaika,nikiwa home internet yao haina tofauti na ya tigo,niliwapigia wakachukua information kadhaa za eneo nilipo wakasema watakuja kufanyia kazi,still now internet ni very poor,niko mjini,nikitoka hapa home hatua 50 hivi napata net fresh,lakini nikiingia home kwangu ni majanga. Net inashika na kukata kabisa. Sijui shida ni nini wadau.