SERUKAMBA T-Shirt, wahi mapema kwa Bigirita.

SERUKAMBA T-Shirt, wahi mapema kwa Bigirita.

Brand zingine andika
'****** anaserukabwa!'
Kamata hiyo!
Ndugai.jpg
 
Hahahahaa, wewe Birigita, hujawasikia Dentist wasiotumia Ganzi na wana deal hadi na kucha za watu?
Mkuu siku hizi natembea na Propranolol kabisa.....wakitaka kunin'goa kucha najidunga cc za kutosha, then nawaacha waendelee!!!
 
Itabidi na mie niwe natembea nazo maana hujui saa wala muda.
Mkuu siku hizi natembea na Propranolol kabisa.....wakitaka kunin'goa kucha najidunga cc za kutosha, then nawaacha waendelee!!!
 
Hata wafute, ipo tayari YOUTUBE.

Kwa kweli this one was "classic"! Itakuwa imeingia kwenye hansard kama ilivyo? Au baada ya kuomba radhi wanafuta?
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Nitengenezee hizi kwa idadi
ya wajumbe wa baraza la mawaziri niwagawie. Terms of payment ni cash on
delivery. Sitaki mchezo na biashara.

Ha! ha! haa! Nitakugongea Likes baadae. Duh! Imagine mzee wa Gombe ndani ya T-shirt hiyo.!
 
Back
Top Bottom