GE2025 Serukamba: Dkt. Nchimbi atakuwa msaidizi sahihi wa Rais Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
505
Reaction score
887
Mgombea ubunge wa Kigoma Kaskazini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Peter Serukamba amesema, Rais Samia Suluhu Hassan alifanya uamuzi sahihi kumteua Dk Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea wake mwenza wa urais.

Serukamba amesema Dk Nchimbi atakuwa msaidizi sahihi wa Rais Samia mara baada ya uchaguzi mkuu utakaofanyika Jumatano ya Oktoba 29, 2025.

Serukamba aliyewahi kuwa mbunge wa Kigoma Kaskazini na Kigoma Mjini amesema hayo leo Jumatatu, Oktoba 13, 2025 katika mkutano wa kampeni wa Dk Nchimbi uliofanyikia jimboni humo.

Naunga mkono hoja, in fact he'll be the one who will be 🏃‍♂️ the show!
P
 
Back
Top Bottom