ISSA SHARAFI
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 407
- 75
nakubaliana na wale wanaosema likizo hawa watoto warudi shule
heee heee unamaanisha humu ndani kuna form two A?
inategemea ni shule gani...wa A wanasoma sa hivi...zipo kuanzia mkondo B,C na D
Punguza story nyingi mwanga mkwanja tuone kama hajakuachia mbunye, chezea pesa wewe! mshiko ndo habari ya mjini.Ktk maisha mapenzi hayaepukiki (jua hlo)
Hivyo basi kuna msichana nmetokea kumpenda sana kimapenzi, nilimwambia kwa jinsi ninavyompenda alikubali kupokea upendo wangu ila tatizo sasa huwa anabadilika cku ananipenda cku ananichukia.
Na cjawahi kusex naye na nikimwambia ananikasirikia tu bla kujibu chochote. Sasa je nifanyeje ili niweze kuishi naye kwa aman naye kunipenda kma ninavyompenda?
Cwezi kumuacha nammpenda sanaa!!!!!!
Ktk maisha mapenzi hayaepukiki (jua hlo)
Hivyo basi kuna msichana nmetokea kumpenda sana kimapenzi, nilimwambia kwa jinsi ninavyompenda alikubali kupokea upendo wangu ila tatizo sasa huwa anabadilika cku ananipenda cku ananichukia.
Na cjawahi kusex naye na nikimwambia ananikasirikia tu bla kujibu chochote. Sasa je nifanyeje ili niweze kuishi naye kwa aman naye kunipenda kma ninavyompenda?
Cwezi kumuacha nammpenda sanaa!!!!!!
shida nikupata papuchi tu hana lolote huyu kiumbe..hakyamama hiv vijana wa kume siku hizi mkojeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee?
aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaargh!
do the needful. nenda kwao ujitambulishe kisha umchukue kihalali, nadhan mnuno unatokana na wewe kutotangaza nia