Seriously Hot Older Women (40 Years & Older)

Eddy Murphy mharibifu sana wa Wanawake, khaaaa!!!! Yaani ukiangalia LIST wale wanaofahamika Official ni wengi sana.

Ngoja tuanzie na alioTANGAZA ndoa....

Nicole Murphy


Akamuacha Mkewe na kumchukua aliyekuwa Mke wa Producer maarufu, Babyface, aitwaye Tracey Edmonds
Na yeye akamuacha.

Akasota na Mariah Carey mara baada ya kuachana na Nicole......


Akaenda Mzalisha Mel B wa Spice Girl......


Juhudi zimemletea Watoto WANANE. Huyu jamaa kweli anatimiza maagizo ya kuijaza dunia kama Mchanga wa bahari.....


Samahani kwa kuchopoka nje kidogo, endelea kushusha Mavituz ya Mima inayojitunza. Kwa Tanzania vipi?



 
UMEMSAHAU Ashley Judd(48)
Hatari sana huyu mama.Mlioangalia missing mnamuelewa vizuri!!
 
Via2 virefu vinawaharbu miguu imewakomaa hatarii
 
imi binafsi namzimia sana Diana Ross. Huyuy bibi ni kiboko. She's 69 years old lakini anawashinda hao wasichana wa 40 years old!

 
Hao utasema hawazeeki aisee!! miaka yote hiyo ka vijana wadogo tu
 
sasa mtafute mbongo wa miaka hiyo umweke picha yake hapa usipomwona anafaa kushiriki mashindano ya bibi bomba

aaah!!!!!!!!!! Wapyy!!!!!!!!!
Umekariri sana tuuu

hivi hapiness magesa ana umri gani?? Je umewah kumwona Kaunga?? Unaujua umri wake na unajua alivyo??

Haya unaangaliaga kipindi cha soko la hisa la dsm?? Kwenye tangazo lao kuna mdada mmoja mrembo hivi amevaa shati la rangi ya carrot unamjua?? Tena ni mwana jf mwenzetu unajua anaumri gani??
Basi usikariri
 
Last edited by a moderator:
pesa zinachangia uku wengi wana stress za maisha kuwa magumu

hata pia kuna wenyepesa ila hawajui kuzitumia kwaajili ya afya zao badala yake wanakuwa walaji na wanywaji wakiholelaolela no mazoezi, mwili unakuwa hauna direction upoupo tu kama pipa
 
kweli sie tupo dunia ya tatu.....vitambi kwa kwenda mbele
 

Aaah shosti, asante kwa kunipaisha; kiukweli l am not yet 40 and l look much older than those hot moms.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…