Septemba11
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 620
- 527
Hata mimi pia natokea huko huko vijiweni, ila maarifa ya matumizi ya mafuta ya transfoma ninayo!
Hata mimi pia natokea huko huko vijiweni, ila maarifa ya matumizi ya mafuta ya transfoma ninayo!
Mafuta ya transformer yapo kundi gani katika extraction ya crude oil? Tuanzie hapo
Transformer oil ni mineral oil na nitofauti na vegetable oil,lazima yana madhara japo bado haijakua documented.
http://afrisciheroes.wordpress.com/...n-and-chips--for-low-fat-use-transformer-oil/
Kumbe ukweli waujua, funguka basiTusifanganyane eti wanakaangia chipsi, sio kweli!
umetisha mdau..labda huenda yanatumika kama k-y jelly ndo maana imekuwa siri
Ni kweli mkuu huwa hayaishi unaweza kukangia hata ngunia 5Kwa skendo za huku uswazi ni kwamba futa la trans ukichanganya na la kupigia unaweza ukakaanga gunia zima kwa lita tano tu....
Ina maana futa la trans linazuia chips kunyonya mafuta mengi unapozikanga? Hii inataka tafiti zaidi pamoja na madhara ya mafuta ya trans kwa mlaji.Kwa skendo za huku uswazi ni kwamba futa la trans ukichanganya na la kupigia unaweza ukakaanga gunia zima kwa lita tano tu....