Wandugu,
Nimerudi. Nipo serious kama kwenye tangazo langu la awali. Natafuta Kiwanja ukubwa iwe Square metre kuanzia 1200 to 1500. Maeneo yawe kuanzia Tabata yote, Kisukuru mpaka Segerea. Majumba sita kuelekea Segerea sio pabaya pia.
Watu walio makini na serious wanaotaka tufanye biashara wani PM.
Asante
Ndimi
Positive