Serious nahitaji ushauri nifanyeje ili niondokane na hili

Aksante ndugu yangu kwa kunishauri hilo ukweli sikuwa na jinsi ya kumuonyesha kwangu kwa sababu alinidanganya mwanzoni mi nikafikiri nitaoa ndugu
 
Aksante ndugu yangu kwa kunishauri hilo ukweli sikuwa na jinsi ya kumuonyesha kwangu kwa sababu alinidanganya mwanzoni mi nikafikiri nitaoa ndugu
No usikate tamaa, bado wapo wakweli na wenye nia ya kua na uhusiano imara. Cha msingi endelea kutafuta.
 
duuh naona nyimbo za parapanda zinaimbwa na wanazuoni wa kuzimu. Hebu stuka mtimue faster mkuu uepuke balaa.
 
Hilo lako umeshalikoroga lazima ulinywe

Gide sio vizuri mshauri mwenzio bana, japo hata mimi najaribu kufikiria nimshauri nini nashindwa, labda sijui ahame haraka tena kwa siri na ahakikishe huyo mwanamke hawezi kujua alipo hata akiuliza. Maana sio mkewe huyo na ana mume wake, lazima amuache tu.
 
Kwani hiyo nyumba imegandamana nawe kama kobe? Kama ni ya kupanga, Hama nyumba mwache humo ndani akikaa mwenyewe atajichokea atarudi kwake. Kama ni kwako kodisha shangingi mlete home kama mpenzi waleteane varangati ataondoka kama ni ngumu kote kote then hama mji kimya kimya maana kuhamia kwako ni more than msala!
 
Aksante ndugu yangu kwa kunishauri hilo ukweli sikuwa na jinsi ya kumuonyesha kwangu kwa sababu alinidanganya mwanzoni mi nikafikiri nitaoa ndugu

Kama kweli mwapendana itakuwa vyema uhame mji kisha mshauri huyo mdada adai talaka akiipata akufuate huko uliko. ila ni vizuri ukihama mji kabla huyo mdada hajaanza harakati za kudai talaka.
 
Baba Erick

hii stori kuna mtu alinisimulia juzi baada ya kuisikia kwenye redio cloud fm... sijui inauhusiano gani na wewe kama sio kutudanganya tu.. bora hata badala ya sudani ungeandika kongo sasa wewe umeiga mpaka location duuu
 
Last edited by a moderator:
Kwani hiyo nyumba imegandamana nawe kama kobe? Kama ni ya kupanga, Hama nyumba mwache humo ndani akikaa mwenyewe atajichokea atarudi kwake. Kama ni kwako kodisha shangingi mlete home kama mpenzi waleteane varangati ataondoka kama ni ngumu kote kote then hama mji kimya kimya maana kuhamia kwako ni more than msala!
Hahahah, mkuu shangingi naye anaweza asitoke huko ndani,akaona ndo amefika.
 
Unataka tukushauri nini sasa hapo..?utakufa na ningekua hyo mjeda shaba inakuhusu..!!busy with the world peace wewe back home u screwn ma wife.?
 
Kwa nini uumpe mimba mke wa mtu. Yani unatafuna mpaka unajisahau na mimba juu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom