Serious car/cars buyer needed

Serious car/cars buyer needed

jrmpya

Member
Joined
Dec 3, 2014
Posts
74
Reaction score
58
Good morning nduguz!!! Heri ya mwaka mpya 2015!! Kwa neema tulitazamia kuingia na sasa tumeingia!!, kila la heri katika yote mtakayoyafanya kwa mwaka huu 2015!! Lets get back to business!! Kwa serious yeyote yule anayehitaji gari au magari kwa bei nafuu sana yani kama una mpango wa kuagiza gari, kabla hujaagiza tuwasiliane kwanza, nawahakikishia ya kuwa upo uwezekano mkubwa sana wa kupata gari unalolitaka kwa bei nafuu sana tofauti na ukiagiza!!! Hii ni serious business, tuwasiliane hapa 0713032969. Good Morning!!!!
 
Nimekuelewa. Je naweza pata CARINA TI kwa 7m
 
I wish to have toyota allex or runx, how much will it cost
 
Nipe bei ya Suzuki Jimny ya 2005 au 2006 tufanye biashara haraka
 
Nissan Caravan ya Diesel inafikia ngapi?
 
Good Morning!! N kweli kabisa magari hayo yote mnayoyahitaji upo uwezekano wa kuyapata, ila kitu ambacho siwezi nikawadanganya n kuhusu bei, hakuna bei maalumu ya gari lolote lile, gari ambalo mtu anaweza akapata leo kwa m 9 kesho anaweza akapata mwingine kwa m 7. Kwa nini inakuwa hivyo!!! Hiyo inakuwa kutokana na Mfumo wa uuzaji unaotumika(mnada), magari yote yako bandarini, mimi siuzi magari bali ninachokifanya ni kuwasaidia watu kupata magari kwa unafuu zaidi!! Hakuna ujanja ujanja wote unaotumika kila kitu kinaenda kisheria na kiuwazi zaid!!! kwahiyo aliye serious tuwasiliane kwa maelezo zaidi, karibuni sana, Good Morning!!!
 
Kuna magari mengi na ni tofautofauti na yote hayana bei maalum, magari yote yako bandarini hivyo kujua bei ya gari, unatakiwa kuwepo siku ya kukagua magari kisha uchague gari ulilolipenda baada ya hapo ndio utaweza kujua bei ya gari hilo, na utaratibu wa malipo utafuatia kesho yake na kuchukua gari yako sikuhiyohiyo, hakuna ushuru wowote bali utatakiwa kulipia plate number tu, gari iwe bararani, naamini umenielewa ndugu!!!Good Morning!!!
 
Back
Top Bottom