Serilkali toeni form five selection tuamue wapi tuwapeleke watoto

Serilkali toeni form five selection tuamue wapi tuwapeleke watoto

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
53,000
Reaction score
104,439
Selection kwa gov schools ni muhimu kwa sababu kama mtoto atapata shule kama Ilboru, Kibaha, Mzumbe, Kilakala and the like, sina haja ya kulipa milioni 9 Feza au milioni 4 Marian. Please do it so that we make an informed decision!
 
Selection tayari kama kina division three kijiandae kwenda ualimu au Afya, kama ana division 1 na two ya point za mwanzo mwanzo ajiandae kuula wa Sato.

Kama ana division two ya point za mwisho mwisho asubiri chekeche la kamari anaweza kuangukia kokote eidha ualimu au afya ama kidato cha tano awamu ya kwanza ama ya pili vyote vitamuhusu
 
Huu mda pelekeni watoto English course, wakapigwe msasa ili wakienda uko shule angalau wajue tofauti ya matumizi ya a, an, na the maana kama mzazi analia hapa kuhusu selection asilimia kubwa mtoto katokea shule zetu pendwa KATA.COM
 
Back
Top Bottom