Duniani kote serikali zote hazitaki watu wajue ukweli!
Kwasababu "Ukweli huwaweka watu huru"
Duniani kote viongozi huapa kuficha siri, Hushika misaafu na biblia kutangaza kuwa wataficha siri badala ya kuapa kusema ukweli na haki!
Yote hayo ili serikali itawale kwa amani inabidi watu wasiwe huru kujua ukweli!
Hivyo nakusanua Leo ishi humu:
Jitahidi sana kuujua ukweli inje ya mifumo ya serikali, maana huo ndiyo ukweli halisi utakaokuweka huru!

- Ukiona jambo linakanushwa na serikali yoyote kuwa ni uzushi basi tambua "huo ndiyo ukweli wenyewe"
- Ukiona jambo linatangazwa na kuhamasishwa wananchi wajitokeze tambua hilo jambo "linamaslahi makubwa kwa wahamasishaji kuliko wananchi wanaohimizwa kujitokeza"
- Ukiona serikali inahimiza ibada ni kwa ajili ya kuiombea aman serikali husika
- Ukiona mtoa taarifa anasakwa kwa tuhuma za kusema uongo basi alichosema ni kweli
- Ukiona jambo limetolewa ufafanuzi basi huo ufafanuzi huo huwa ndiyo uongo halisi!
- Ukiona jambo linatolewa bure basi hilo jambo linamaslahi kwa watawala
Jitahidi sana kuujua ukweli inje ya mifumo ya serikali, maana huo ndiyo ukweli halisi utakaokuweka huru!