Serikali za CCM na kuwadharau walimu

Serikali za CCM na kuwadharau walimu

wakikosi

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2015
Posts
1,354
Reaction score
1,493
Kwamiaka mingi sana walimu wanaofundisha shule za serkali zote za msingi na secondary wamekuwa wakipata masrahi duni sana Tanzania ukilinganisha na watu wa kada nyingine.
Mwalimu wa Tanzania analipwa pesa mdogo sana mbali ya hapo halipwi posho,halipwi ela ya fani aliyosomea wala halipwi overtime. Maisha ya walimu ni magumu sana lakini hapo hapo serkali inatamka kila siku kuwa anataka kuboresha elimu ya Tanzania.

Elimu bora ni pamoja na walimu bora,Mwalimu atakuaje bora kama ana njaa?? Imefika kipindi hata waosha magari wa mitaani wanajiona wana pesa kuliko walimu wa Tanzania.
Hivi serkali za CCM kwani ninyi walimu mnawaonaje au mnawaona hawastahiri kulipwa vizuri?
 
Ni kweli kabisa mtoa hoja hujakosea..kwa maoni yangu ningefurahi kama walimu wangeboreshewa maslahi yao..na kama ingewezekana walimu wa shule ya msingi ndiyo wangetakiwa kupata mshahara mkubwa zaidi kuliko level zinazofuata kama sekondari nk..hii ni kwa sababu mwalimu wa primary ana kazi kubwa sana kwa huyu mwanafunzi..lakini Leo hii Mwl wa primary anaonekana hana thamani yoyote..watakuja na mikakati mingi sana ya kuboresha elimu lakini wasipowajali walimu ni hakuna kitakachobadilika
 
Kabisa,bila kuboresha masrahi ya Mwalimu kupata elimu bora ni hadithi tu hapa kwetu Tanzania, tutaendelea kupeleka watoto wetu huko shule za Saints, shule zao za kayumba wataendelea kusoma watoto wa wakulima tu
 
Hii kada ya Ualimu siwezi kuihurumia kabisa.... Hawana umoja, hawana msimamo. So haya yote ni ugonjwa wankijitakia... I stand to be corrected!
Hahahahahaha, Mkuu wahurumie kidogo hawa viumbe
 
Hii kada ya Ualimu siwezi kuihurumia kabisa.... Hawana umoja, hawana msimamo. So haya yote ni ugonjwa wankijitakia... I stand to be corrected!
Walimu?wa nchi hii!labda....lakini kama walimu hawajitambui,maana yake hata haki zao hawazijui.Ngoja,wenda munaowategemea kuwahurumia wakiamua kuwa na huruma mtafikiriwa.
 
Ni kweli kabisa mtoa hoja hujakosea..kwa maoni yangu ningefurahi kama walimu wangeboreshewa maslahi yao..na kama ingewezekana walimu wa shule ya msingi ndiyo wangetakiwa kupata mshahara mkubwa zaidi kuliko level zinazofuata kama sekondari nk..hii ni kwa sababu mwalimu wa primary ana kazi kubwa sana kwa huyu mwanafunzi..lakini Leo hii Mwl wa primary anaonekana hana thamani yoyote..watakuja na mikakati mingi sana ya kuboresha elimu lakini wasipowajali walimu ni hakuna kitakachobadilika
sikio la kufa walimu wengi wanamahaba sana na magamba
 
Ninachokiona Mimi huo umoja unaosemwa unaweza ukaleta direct impact kwa wahusika physically..nahisi ndo maana walimu wanaogopa..ila nimegundua kuwa kuna kitu kinaweza kuwa kinaendelea ndani ya mioyo ya walimu kimyakimya( sema tu wengi hatujagundua)..hivi unawezaje kuamini kuwa mwanafunzi kasoma darasa la kwanza hadi la saba asijue kusoma wala kuandika?.sijui lakini.
 
Malipo yyt duniani huendana na kiwango cha elimu kwa hiyo ucjali kwa walimu wa sm kulipwa kidogo km sekondary. Waambie wakasome wawe na diploma au degree
 
Malipo yyt duniani huendana na kiwango cha elimu kwa hiyo ucjali kwa walimu wa sm kulipwa kidogo km sekondary. Waambie wakasome wawe na diploma au degree
Dah hapa mkuu umenikumbusha kuna mwalimu mmoja alitupa lecture darasani baada ya kuona tumekuwa wakorofi alisema "nyie watoto madaktari waikigoma mgomo wao unaonekana,wanafunzi wakigoma mgomo wao unaonekana,wafanyakazi wa mashirika na viwandani wakigoma pia mgomo wao unaonekana na wakulima pia mgomo wao unaonekana lakini mgomo wa mwalimu hauonekani" akasema anaweza akagoma ila akaendelea kufundisha kama kawaida na bado msijuwe kama amegoma na mwisho wa siku ndipo matokeo yatawaambia kwamba anayefundisha yupo kwenye mgomo.Dah hapo ndo nikagundua kumbe kuna watu hajui kusoma na kuandika ili hali wapo vidato na vidato kumbe miaka yote walikuwa wanatumikia mgomo pamoja na mwalimu wao.
 
Malipo yyt duniani huendana na kiwango cha elimu kwa hiyo ucjali kwa walimu wa sm kulipwa kidogo km sekondary. Waambie wakasome wawe na diploma au degree
Hata walimu wa secondary nao ni shida tu,wanalipwa vijisenti uchwara kabisa
 
Wakikosi uko sahihi...ualimu ni shida...ingawa viongozi wengi ni walimu...shida yao hawapendani...jpm; wamkuu naskia na sulluu wote walm. Jmhagama Mwl...lkn hawez kuwatetea wenzie.
 
Back
Top Bottom