Serikali YOTE YA BULGARIA YAJIUZULU....!!!!!

Serikali YOTE YA BULGARIA YAJIUZULU....!!!!!

JAPUONY

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2010
Posts
383
Reaction score
186
Ndugu wana JF,

Naleta taarifa hii siyo kwamba napenda kuleta taarifa tu ila kuwa TANZANIA hasa VIONGOZI wajifunze kutokana na makosa wanayoendelea kuyafanya katika Taifa letu.

Muda mfupi leo Jumatano, Serikali NZIMA ya nchi ya Bulgaria imejiuzulu baada ya Wananchi kufanya maandamano ya kupinga maisha magumu yatokanayo na kupanda kwa bei za bidhaa nchini humo ikiwemo Umeme na vyakula. Rais na wateule wake wote wamejiuzulu baada ya Rais kusema hawezi kuwepo madarakani watu wakiendelea kumwaga damu. Bofya hapa kwa habari zaidi.

This should be a signal to "your" JK - Mr. Walker a.k.a. Vasco da Gama!
 
kajiuzulu kwa sababu ameona watu wake ni wajinga na ujinga huu hata tanzania unakuja ukiongozwa na mitizamo kama yako
 
Mkuu; najua una nia njema ya kuleta huu uzi. inawezekana unafikiri kuwa uzi huu utakuwa chachu ya kuwafanya viongozi wazembe wajiuzulu kufuatia matokio mbali mbali ya uhalifu nchini. Hata mimi natamani ingekuwa hivyo lakini hapa nchini hiyoitakuwa ni ndoto tu, na kama inakutia moyo kuendelea kuota ndoto kama hizo basi endelea lakini zitabakia kuwa ndoto. Jipe Moyo!
 
Ungejua gharama za kuapisha viongozi wapya ungekaa kimya
 
Ungejua gharama za kuapisha viongozi wapya ungekaa kimya

Kwa hiyo kwa mtazamo wako ili kuepuka gharama
- Watoto wetu waendelee kufeli tu kutokana na upuuzi wa CCM
- Tembo wetu waendelee kuuawa
- Madini yetu yawanufaishe wachache huku wananchi wakiachwa na umasikini na mashimo tu,
** Hayo mawazo yako ni ya kijinga kwani uwajibikaji wa aina hiyo ni sehemu ya kupisha watu wenye uwezo wa kuwaletea maendeleo wananchi waongoze.**
 
Wajiuzuru! Akina Prince wakaibe wapi mali za Wajinga? Si watanyang'anywa UDA waliyojigawia bure? Je Wakikamatwa na madawa ya kulevya tena huko China, nani atakayewapa Wachina dhamana ya mali ya nchi ili wasimnyonge?
Hajiuzuru mtu hapa!
 
Ungejua gharama za kuapisha viongozi wapya ungekaa kimya
ETI???Yaani gharama zizuie MAISHA BORA ya baadae ya wananchi??Zizuie kujipanga upya?HAPO SOMO LAKO NI SAWA NA KUSEMA MTU KUKATA TAMAA NA KUOGOPA KUJENGA KWA KUHOFIA GHARAMA ZA UJENZI MBAYA ZAIDI MTU HUYO NA FAMILIA YAKE HAWANA MAHALI PA KWENDA KUPATA NYUMBA YA KUPANGA ILI MAISHA YAENDELEE,HIVYO KWA UMBUMBUMBU NA UZEZETA WAO WANAAMUA KUENDELEA KUISHI KUNAKO GOFU,PAGARE,NYUMBA ILIYOCHOKA,HOHEHAHE MPAKA WAFIE HAPO.,kisa?---ghaalama.Mh!vichwa tunavyo.teh,teh,teh,teh,teh na tuwaongezee basi vipindi vya kutawala kuepusha gharama za kuwaapisha.koh,koh,koh,koh!pyuuuu.
 
kajiuzulu kwa sababu ameona watu wake ni wajinga na ujinga huu hata tanzania unakuja ukiongozwa na mitizamo kama yako

Leo nimekubali, "Nyani haoni kundule"! Nyani wote makalio yao yako kama vile yameungua (kama ulishaona makalio yake) lakini kwakuwa haweziona makalio yake na kwakuwa anao uwezo wa kuona wa mwenzie tu, basi huwa akiona wa mwenzake Nyani huyo humcheka mwenzie na kumwambia, "fulani, mbona ------ yako yameungua?"! Hivyo ndivyo ilivyo akili yako au iko chini yahapo na siyo zaidi...
 
Back
Top Bottom