Serikali yawatelekeza wanafunzi vyuo vikuu

duh! Hii ya kusema "wasichana wengi wakiwa wanajiuza" huu ni udhalilishaji mkuu. Ungetafuta kauli nyingine ya kufikisha tatizo lao pasipo kuwadhalilisha dada zetu.
Kuna watu wamezoea sana kuwadhalilisha kina dada, we unewaona ho wakijiuza, ni kweli boom limechelewa na mimi nipo kwenye chuo kimojawapo lakini sijaona mdada akijiuza, kwa taarifa yako wadada wanajaliwa sana na ndugu na jamaa hivyo mara nyingi wanatumiwa pesa na ndugu zao, tuwaheshimu dada zetu plz
 
Wanafunzi wengi wameshapata boom lao. Wewe endelea kuweweseka humu JF.
Huyo husiangaike naye, aleinda chuo kutafuta "changu" akapigwa fix naye akaingia king! Ila tumpe hongera kwa kupunguza umasikini kwa dada zetu
 
Hiyo ndio hali halisi mkuu.
mtakabiliwa na makesi kila siku msipojifunza kuwa wakweli. Sugu, Mnyika, Olemilya wamehukumiwa kwa kusema mambo ambayo wameshindwa kuyathibitisha
 
Asikwambie mtu ,nimekutana na madogo wa chuo kimoja yaani wanatia huruma sana,wanaonyesha ni watu waliokata tamaa,niliwpatia elfu ishirini japo iwasukumie siku.
nb.usitarajie mtu anayesoma kwa mazingira ya namna hii aje awe mtumishi bora na mwenye ufanisi Siku akiaajiliwa.
 
mtakabiliwa na makesi kila siku msipojifunza kuwa wakweli. Sugu, Mnyika, Olemilya wamehukumiwa kwa kusema mambo ambayo wameshindwa kuyathibitisha
Hilo sio jambo geni, hivi unategemea binti ambaye hana pesa afanyaje akaibe au abebe zege, mbona hata makamu wa rais alisema hivyo na hii ndiyo hali halisi kwa sasa kwenye vyuo vingi vilivyo cheleweshewa pesa.
 

kuwa specific chuo gani na gan?
 
Dah! Kumbe umetembea kwenye chuo kimoja tu then unasema vyuo zaidi ya 20? By the way bado zoezi la uhakiki linaendelea
Mkuu,
1. Huwa hupendi kuona serikali ikikosolewa.... sawa na wenzio wote
2. Huamini kwamba serikali huwa inakosea
3. Huwezi kuikosoa serikali. Kama wale wabunge wenu ambao toka mwanzo wa kuchangia hadi mwisho wao ni kulalamika lakini wanahitimisha kwa kuunga mkono mhoja
4. Kila anayeikosoa serikali, hata kwa makosa ya wazi huwa unamchukia sana na pengine kumdondoshea maneno ya kejeli

UNAHITAJI KU-CHANGE... PEKE MAKOSA YASEME NA PENYE KUPONGEZA PONGEZA....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…