Zoezi la uhakiki linahusiana vipi na kucheleweshewa mikopo kwa watoto hawa wa wanyonge, mbona kuna vyuo vimepata pesa zao inakuwaje vichache vikose na bodi waseme hawana pesa.Dah! Kumbe umetembea kwenye chuo kimoja tu then unasema vyuo zaidi ya 20? By the way bado zoezi la uhakiki linaendelea
Wanafunzi wengi wameshapata boom lao. Wewe endelea kuweweseka humu JF.Zoezi la uhakiki linahusiana vipi na kucheleweshewa mikopo kwa watoto hawa wa wanyonge, mbona kuna vyuo vimepata pesa zao inakuwaje vichache vikose na bodi waseme hawana pesa.
Vyuo vipo vingi sana juzi nilikuwa ofisi ya mkuu wa mkoa mmoja alikuja rais wa chuo ikapigwa simu bodi wakasema vipo vyuo zaidi ya 20 kikiwemo Muhimbili,na BugandoPoleni sana! Ni vyuo gani hivyo? Majina tafadhali.
dah!! kweli wewe ni mtetezi wa chama na serikali. hata wakikosea wewe ni kushabikia tuDah! Kumbe umetembea kwenye chuo kimoja tu then unasema vyuo zaidi ya 20? By the way bado zoezi la uhakiki linaendelea
Ninavyoongea na wewe leo hii kuna taarifa kuwa wanafunzi wa chuo cha SAUT TABORA Walikuwa wamepanga kuandamana kwenda kwa mkuu wa mkoa viongozi wao wakawazuia wakaenda wao wenyewe na juzi Muhimbili walitaka kugoma, acheni kunyanyasa watoto wa wanyonge.Wanafunzi wengi wameshapata boom lao. Wewe endelea kuweweseka humu JF.
Hakuna mtu anaeizuia kufanya kazi ila hawa watoto wa maskini wapewe haki yao njaa ni mbaya wengi tumepitia vyuoni tumejionea hali ilikuwaje pindi pesa inapochelewa, fikria watu wanaanza mitihani yao wiki ijayo lakini hawajapata pesa.Acheni sirikali ifanye kazi.....!
ndg yangu hata km unakipenda chama sio kwa style hii lizaboni!!!zoezi LA uhakika linaingia VP hapo???mwenyezi mungu akusamehe sana.Dah! Kumbe umetembea kwenye chuo kimoja tu then unasema vyuo zaidi ya 20? By the way bado zoezi la uhakiki linaendelea
Tatizo lake analeta ushabiki kwenye mambo ya msingi laiti kama angetembelea vyuo hivyo aone hali walizo nazo wanafunzi hao.ndg yangu hata km unakipenda chama sio kwa style hii lizaboni!!!zoezi LA uhakika linaingia VP hapo???mwenyezi mungu akusamehe sana.
Acha uzushi ukweli n kwamba wanafunzi wengi hawajapata pesa yao ambayo walitakiwa wapewe mwezi wa tano....hapo ndipo nnaposhindwa kuoelewa serikali yetu.Wanafunzi wengi wameshapata boom lao. Wewe endelea kuweweseka humu JF.
Ajabu nini hapo?Zaidi ya vyuo vikuu 20 hapa nchini havijapatiwa pesa yao ya kujikimu baada ya kutakiwa kupewa pesa hiyo katika ya mwezi wa 5, hali iliyopelekea baadhi ya vyuo kuwazuia wanafunzi wake kufanya mitihani yao ya mwisho inayoanza wiki ijayo kwa baadhi ya vyuo kwani wengi wa wanafunzi hao hutumia pesa hizo kukamilisha ada za chuo kutokana na kulipiwa pesa kidogo na bodi ya mikopo.
Nimetembelea chuo kimoja hapa nchini nakuzungumza na wanafunzi wengi wamekataa tamaa huku wakizongwa na madeni, na kodi toka kwa wamiliki wa nyumba. Huku wasichana wengi wakijiuza ili kukidhi mahitaji yao.
My take :
Mh Rais alisema kuwa akiingia madarakani hatapenda kuona wanafunzi wamecheleweshewa mikopo yao ni wakati sasa wanafunzi hao walipwe pesa zao za kujikimu.
Wewe kusoma kwako VETA usijiseme eti na wewe ulipita chuo! Ivi kwenye mitandao ndio mnajipaisha hivi, Duh! Inamaana ningekuwa sikujui, ningeamini.Hakuna mtu anaeizuia kufanya kazi ila hawa watoto wa maskini wapewe haki yao njaa ni mbaya wengi tumepitia vyuoni tumejionea hali ilikuwaje pindi pesa inapochelewa, fikria watu wanaanza mitihani yao wiki ijayo lakini hawajapata pesa.
Ajabu ni serikali inayojinasibu kuwa ya wanyonge na masikini imeshindwa kuwapa watoto wa maskini pesa yao.Ajabu nini hapo?
Hakuna elimu nzuri kama ya VETA maana inakuandaa ukajiajiri na sio kuajiriwa.Wewe kusoma kwako VETA usijiseme eti na wewe ulipita chuo! Ivi kwenye mitandao ndio mnajipaisha hivi, Duh! Inamaana ningekuwa sikujui, ningeamini.