Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,026
Huyu nchi imemshinda kama hamjagundua ,kuajiri kashindwa ,kuongeza mishahara kashindwa ,kukopesha wanafunzi elimu ya juu kashindwa ,kumantain dola kashindwa , kukusanya kodi kashindwa ,kuvutia wawekezaji kashindwa ,kutunza na kusimamia pesa za umma kashindwa 2.4 Tilioni ,Kulunda usalama wa watanzania kashindwa( kuteka kuuawa) ,Huduma za afya kashindwa ,kuboresha sekta binafsi na uchumi kashindwa ,kuteua viongozi bora na makini ,kashindwa ,kutenda haki na kufuata sheria kashindwa ,ccm hebu tuondoleeni MTU wenu mlietusukumizia .