Kama mawazo ya Watanzania ni haya basi inatisha, si ajabu tukawaita wawekezaji waje kutuendeshea mambo ndani ya familia zetu. Tatizo letu ni kwamba watanzania tumekuwa wavivu wa kufikiri, tunapenda majibu rahisi rahisi, tunapenda kulaumu wengine na kukwepa wajibu wetu. Hivi kuna yeyote aliyejiuliza mchango wa wanafunzi katika sakata hili? Haya huyo aliyekuwa akilia Hall & analilia nini?ni yale yale ya utawala wa Msolla! hivi kweli Tanzania hatuna watu wenye akili timamu ambao wanaweza kukaa chini na kutatua matatizo ya Mlimani? Tuombe wawekezaji waje kutuonesha jinsi ya kuendesha Chuo Kikuu cha Taifa...?
Kama mawazo ya Watanzania ni haya basi inatisha, si ajabu tukawaita wawekezaji waje kutuendeshea mambo ndani ya familia zetu. Tatizo letu ni kwamba watanzania tumekuwa wavivu wa kufikiri, tunapenda majibu rahisi rahisi, tunapenda kulaumu wengine na kukwepa wajibu wetu. Hivi kuna yeyote aliyejiuliza mchango wa wanafunzi katika sakata hili? Haya huyo aliyekuwa akilia Hall & analilia nini?
Sisi wenyewe si wastaarabu, tunajifanya tunajua sana. Huko Ulaya umesikia lini ati Chuo kimefungwa kwa sababu ya siagi, mkate, nyama au wali? Ina maana hakuna masikini? Au Masikini wa huko hawaendi shule? Tumezidi kujiendekeza na kuiga mambo tusiyoyaweza.
Mjukuu wangu yupo mwaka wa tatu na yeye kanieleza yafuatayo:-
1. Kuna wanafunzi ambao hawataki kusoma wapo Chuoni kwa shinikizo la wazazi wao.
2. Wamefeli koziweki na wanadhani vurugu zikipelekea kufunga chuo watasalimika na kufukuzwa.
3. Wapo waliomaliza boom, hawana kitu mifukoni, wanaona wiki nne zilizobaki wataumbuka, chuo kikifungwa wakirudi nyumbani wanaweza kupata chochote kutoka kwa wazazi wao.
Na wengi katika makundi haya ni mwaka wa 1 na wa 2
Mwaka wa 3 na wa 4 kama wamo basi ni wachache sana.
Bahati njema kwangu mjukuu wangu Aggy si mmoja kati ya makundi hayo. Nashukuru Mungu. Naomba Mungu pia amalize mtihani wake.
Why Kugoma?
labda nikuambie kwa kutumia why not?
1. Why not kugoma ili serikali isitishe mikataba mibovu?
2. Why not kugoma ili bei ya umeme ipungue?
3. Why not kugoma ili serikali isite kulipa richmonduli?
4. Why not kugoma ili mafisadi washitakiwe?
5. Why not kugoma ili serikali ithamini elimu nchini?
6. Why not kugoma ili pesa za nchi zitumike kwenye huduma za jamii,km afya, elimu, miundombinu, maji na nyinginezomuhimu zipatikane nchini tena kwa bei rahisi ila kila mwananchi amudu kuzipata?
7. Why not kugoma ili huduma muhimu zipatikane chuoni?
Wangegoma kwa haya na mimi ningewaunga miguu na mikono yote. Tena ningeongeza,
8. why not kugoma ili sekondari za kata zipewe walimu wenye sifa na vitendea kazi?
9. Why not kugoma ili mabilioni ya kikwete yawafikie walengwa?
10. Why not kugoma ili rasilimali za nchi ziwanufaishe wazawa?
Kama mawazo ya Watanzania ni haya basi inatisha, si ajabu tukawaita wawekezaji waje kutuendeshea mambo ndani ya familia zetu. Tatizo letu ni kwamba watanzania tumekuwa wavivu wa kufikiri, tunapenda majibu rahisi rahisi, tunapenda kulaumu wengine na kukwepa wajibu wetu. Hivi kuna yeyote aliyejiuliza mchango wa wanafunzi katika sakata hili? Haya huyo aliyekuwa akilia Hall & analilia nini?
Sisi wenyewe si wastaarabu, tunajifanya tunajua sana. Huko Ulaya umesikia lini ati Chuo kimefungwa kwa sababu ya siagi, mkate, nyama au wali? Ina maana hakuna masikini? Au Masikini wa huko hawaendi shule? Tumezidi kujiendekeza na kuiga mambo tusiyoyaweza.
Mjukuu wangu yupo mwaka wa tatu na yeye kanieleza yafuatayo:-
1. Kuna wanafunzi ambao hawataki kusoma wapo Chuoni kwa shinikizo la wazazi wao.
2. Wamefeli koziweki na wanadhani vurugu zikipelekea kufunga chuo watasalimika na kufukuzwa.
3. Wapo waliomaliza boom, hawana kitu mifukoni, wanaona wiki nne zilizobaki wataumbuka, chuo kikifungwa wakirudi nyumbani wanaweza kupata chochote kutoka kwa wazazi wao.
Na wengi katika makundi haya ni mwaka wa 1 na wa 2
Mwaka wa 3 na wa 4 kama wamo basi ni wachache sana.
Bahati njema kwangu mjukuu wangu Aggy si mmoja kati ya makundi hayo. Nashukuru Mungu. Naomba Mungu pia amalize mtihani wake.
Jana Mwal. Kitila alisema kuwa chanzo cha mgomo bado akikosawa, tuelezeni madai ya wanafunzi yalikuwa yepi, kwa upande wa management kwanini mnajua kabisa kuna dalili za mgomo kwa ajiri ya uchaguzi halafu nyie mnaingiza na mambo ya kufukuza wanafunzi mlitaka wagome kabisa nashindwa kupata logic iliyotumika hapa.
Je mgombea Uraisi Mganda alikuwa na role gani wakati wa vurugu za kwanza zilizoundiwa kamati, hapa naisi kuna mkono wa kifisadi, je kweli na yeye alikuwa engineer wa mgomo wa kwanza au ameingizwa ili kumzuia asichaguliwe, management wanaitaji kujibu hili ndo watu wataelewa kinachoendelea.
i still reason within the ambit of no to mgomo
kama ni kuwachagulia huyo rais ambaye hawamtaki nitawasupport wakinijibu hili.
tangu huyo kijana amesimamishwa ili alete yaliyodaiwa kuwa ni origina certificate, si zimepita wiki mbili na zaidi? hivi wiki mbili ameshindwa kutafuta hicho cheti toka Uganda hadi Tanzania hata kama ni kwa EMS au kwenda yeye mwenyewe na wale wanaomuunga mkono kumchangia hiyo nauli ya kwenda UG.?
pili, ameshindwa kuomba muda chuo ili akatafute hicho cheti hata kama ni kwa sharti kuwa uchaguzi usimamishwe?
watu 20000, idadi ya UD inayomuunga mkono ingeweza kuchanga sh. 100, zingekuwa milion 2 ambazo angeweza kwenda kwa ndege na kurudi.
swala kwamba hakudailiwa vizuri, hilo ni jambo jingine maana an illegal search though illegal but the evidence obtained are admitted. huwezi sema ndio gali la wizi limekutwa kwangu lakini police hakuja na search warrant.
that is my reason behind.
hakuna lolote nimegundua kuwa hawa wanafunzi ni vandals.. wamevunja kule swimming pool. kuiba bia na soda. wamevunja mabweni... kitu ambacho hakina uhusiano na malalamiko yao. wengine wamekamatwa na 5kilos za bangi.
they behave like animals andd deserve kuwatreated the same... yule msichana hajafa wala nini..... mzima and so is her baby...

we haya unayoyasema ni mgomo huu unaoendelea au yale ya zamani?
Sikushangai maana hata leo hii kuna watu wanasema kuwa Lowasa ameonewa kisheria na hivyo inabidi arudishwe kwenye nafasi yake ya uPM
NIMEANZA KUDOUT UPEO WAKO WA KUJENGA HOJA.
Hata Lowasa alisema the same thing mwaka jana!
NO. KWA SABABU LOWASA HAKUJENGA HOJA YOYOTE ISIPOKUWA TU KUSEMA NIMESINGIZIWA, HUKU WATU WAKIJENGA HOJA.
NA HAPA KWA SABABU TUMEJITAHIDI KUJENGA HOJA KITU GANI KITATOKEA NA NINI KINAWEZA KUFANYIKA HUKU WEWE UKITUMIA MANENO YASIO YA USTAARABU NA KASHFA ZA VIOJA BADALA YA HOJA KAMA HII HAPA JUU,
NINADHANI Iam not whom you think Iam but i am whom you think I am not, and you may be not whom you think you are but you are whom you think you are not.
Ishengoma hizi kauli zako kusema kweli zimepitwa na wakati!Kwa kifupi wewe unapendelea nchi yetu ibaki dormant!Unataka ikwame tu!Wananchi wamelala na wewe unazidi kushabikia usingizi huo!Ikatuchukua watanzania Mnorway kuhoji haki zetu...na mwingereza kutuvumbulia mfisadi.. na sasa inatuchukua mganda kuhoji haki zetu!Which side of the history are you going to be Mr Ishengoma?NO. KWA SABABU LOWASA HAKUJENGA HOJA YOYOTE ISIPOKUWA TU KUSEMA NIMESINGIZIWA, HUKU WATU WAKIJENGA HOJA.