LTN USU WA MADOSO
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 1,193
- 859
naomba waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga taifa kukuomba kuwa kuna vijana watanzania wazalendo wanapenda kulitumikia taifa lao mliwafanyia usaili wa kwenda jkt toka mwezi wa nne mwaka huu na zoezi likawa limekamilika vijana hawa wameacha shughuli zao wakiwa wanasubiri kwenda kulijenga taifa lao mpaka sasa wapo mtaani naiomba serikali kutoa tamko juu ya suala hili