Serikali yasitisha uuzaji Wanyama Nje: Waziri Mkuu papo kwa papo

PIA PM aliulizwa swali kuhusu pembejeo na jingine kama kawaida yale ya CUF ya kidugu ambayo hayana Tija.

Hayo ndio maswaki kwa PM alhamis ya leo

ADIOS
 
Lakini bado mimi simuelewi huyu Spika! Mbunge anauliza: Mheshimiwa Spika, naomba kumuuliza Waziri Mkuu blah blah blah! Ghafla Spika anajibu! Kwani kaulizwa yeye??? Shame on her!!

Hawezi kuacha huu mchezo Bibi Kiroboto na mashaka hili moja ya jukumu lake la msingi la yeye kupewa kiti hicho Mkuu
 
PM wetu bana ana majibu rahisi kwa mswali magumu!!!

Raila Odinga, nilimshuhudia jana anajibu maswali inavyopaswa, with time frames!! Na si majibu kama "...muda si mrefu" haya ni majibu ya vijiweni, maofisini9 tu hayatakiwi...

my foot this government...
 
Huyu waziri mkubwa amechoshwa na hiki kipindi, cha maswali na majibu, na ndio maana majibu yake hayana msaada na maana yoyote kwa taifa. Ipo siku atatoa majibu ambayo waheshimiwa wataandamana kipindi kifutwe ili hazima yake itimie.

Kujua kama huyu mtu kipindi kimemchosha, ni hivi majuzi tu alihulizwa na akasema maswali mengi anayoulizwa mara nyingi yanakuwa magumu ni bora angekuwa anayafahamu kabla ili aandae majibu yake ingekuwa rahis.

President nae alikuwa na kipindi kama hiki, lakini yeye watu walikuwa wanamuuliza maswali kwa njia ya simu.

Kwa kuwa maswali mengi waliouliza watanzania, ni hali halisi na sehemu ya matatizo yao ya kila siku. wao wanataka maswali mepesi ya kuwafagilia. na ndo maana yanawaweka katika wakati mgumu.

Mfano tumuhoji mh. rais. "Hivi karibuni wanyabiashara wa mafuta waligoma, na kuipa serikali yako saa 24 ipandishe bei, na kweli bahada ya siku 5, serikali yako ikapandisha bei" je huoni huo ni ushindi kwa wafanyabiashara. na wananchi kuidharau serikari? JIBU
 
Tumelijadili hili last week bado wembe ni ule ule...Sijui kuna nini hapa????
 
Katika Maswali ya Papo kwa papo kwa Waziri Mkuu Asubuhi ya leo Mh. Chiku Abwao CDM kamuuliza Waziri Mkuu kwa nini katika Muungano huu Zanzibar wameendelea kupeperusha Bendera yao ya Awali na ile ya Tanzania...Yaani bendera ya Tanzania na ile ya Zanzibar wakati Tanzania tunapeperusha Bendera ya Tanzania na ya Tanganyika haipeperuki tena

PM: Jibu ni jepesi tu, hayo ndio yalikuwa makaubaliano ya pande mbili wakati huo

ABWAO: Swali la Nyongeza...Huoni kama upande wa pili haukutendewa Haki katika kuruhusu pia bendera ya Tanganyika kupeperushwa?

PM: Huo ni utashi wako na unavyopenda wewe lakini utaratibu wa Kikatiba hausemi hivyo

???????????????????????????

How fast Invisible works...AM IPRESSED...I was about kukwambia uimove hapa hata sijapost naiona katika thread hii kuepuka Duplication...FANTASTIC
 
Umeme upo huko Mkuu? Kipindi cha maswali kimekwisha ila tunaendelea kuufuatilia mjadala kupata vitu zaidi

Tulio nje ya nchi tukipata updates kama hizi unajiona kama upo home live, huku hakuna cha mgao kabisaaaaaa
 
alafua ule woga wa kujiunga na EAC unadhani unatoka kwa 'STD VII' tu, jiulize huyu mheshimiwa angekuwa anaendesha bunge la kiwango cha Kenya au Uganda angejibu hata swali moja!?
PM wetu bana ana majibu rahisi kwa mswali magumu!!!

Raila Odinga, nilimshuhudia jana anajibu maswali inavyopaswa, with time frames!! Na si majibu kama "...muda si mrefu" haya ni majibu ya vijiweni, maofisini9 tu hayatakiwi...

my foot this government...
 
Tulio nje ya nchi tukipata updates kama hizi unajiona kama upo home live, huku hakuna cha mgao kabisaaaaaa

Thanks to JF Mkuu...Tunajitahidi walau tumebuni kufuatilia Bunge mjue yanayojiri huku
 
Nawasi wasi na maono ya PM kwa sasa,anajibu maswali kienyeji mno na anatoa majibu mepesi sana ambayo hayalingani na maswali.
 
Katika Maswali ya Papo kwa papo kwa Waziri Mkuu Asubuhi ya leo Mh. Chiku Abwao CDM kamuuliza Waziri Mkuu kwa nini katika Muungano huu Zanzibar wameendelea kupeperusha Bendera yao ya Awali na ile ya Tanzania...Yaani bendera ya Tanzania na ile ya Zanzibar wakati Tanzania tunapeperusha Bendera ya Tanzania na ya Tanganyika haipeperuki tena

PM: Jibu ni jepesi tu, hayo ndio yalikuwa makaubaliano ya pande mbili wakati huo

ABWAO: Swali la Nyongeza...Huoni kama upande wa pili haukutendewa Haki katika kuruhusu pia bendera ya Tanganyika kupeperushwa?

PM: Huo ni utashi wako na unavyopenda wewe lakini utaratibu wa Kikatiba hausemi hivyo

???????????????????????????

masuala mazuri sana haya kwa waTNG kuweza kujitambua.

Hongera sis
 
Majibu: Ni eneo ambalo katioka vikao vyetu vya jana tumekubaliana kulitazama upya na Ikiwezekana tuweke mikakati mipya

Breaking News: SERIKALI IMEKUBALI KUSIMAMISHA KWA MUDA BIASHARA YA USAFRISHAJI WA WANYAMA NJE YA NCHI

Naamini kinachoongelewa siyo huu usafirishaji wa hivi karibuni ambapo wanyama zaidi ya 100 walitoroshwa kupitia uwanja wa ndege wa Kilimanjaro. Kwani kilichotokea pale siyo biashara halali bali ni wizi/ujangili wa wanyama pori uliopangwa, kuratibiwa na kusimamiwa kwa karibu na maofisa wa serikali waliopewa wajibu wa kuuzuia usitokee.
 
Nawasi wasi na maono ya PM kwa sasa,anajibu maswali kienyeji mno na anatoa majibu mepesi sana ambayo hayalingani na maswali.

Ulitaka ajibu vipi? kuhusu Zanzibar mimi naona amejibu ukweli wa mambo bila kumung'unya maneno. Lazima tujue kuwa uwaziri mkuu wa Tanzania ni sawa na kiranja wa kawaida tu ambaye hawezi kujibu wala kuchukua hatua yoyote ya maana mpaka kwanza apate baraka za aliyemteua. Ni moja ya vyeo ambavyo havina tija kabisa kwenye nchi hii zaidi ya kuongeza gharama za uendeshaji wa serikali na foleni za misafara ya viongozi hapa mjini. Kimsingi rais ndiye mwenye mamlaka yote nchii hii na yeye ndiye alipaswa kujibu maswali ya hapo kwa hapo bungeni. Inabidi kuwepo na mabadiliko makubwa ya kikatiba ili cheo cha uwaziri mkuu kiweze kuwa na tija nchini; vinginevyo unaweza kukifuta tu na kusiwe na impact yoyote kiutendaji serikalini.
 
KUB Mh. Mbowe.
Mh. Waziri mkuu, sasa ni miezi kumi impita tangu kuisha kwa uchaguzi mkuu. Baada ya uchauguzi kuna kesi 37 ambazo zimefunguliwa kutokana uchaguzi huo. Mh. Waziri mkuu, Kwa kuwa, Kwa mujibu sheria ya uchaguzi ni lazima kesi hizi ziishe ndani ya mwaka moja. Na kwa kuwa, Jaji mkuu ameshasema hana fedha za kuendesha kesi hizo kutokana na serikali kutompa fedha husika. Na kwa kuwa hata kama fedha hizo zitapangwa ktk bajeti hii, haiwezi kuwahi muda uliowekwa ktk sheria ya uchaguzi zilizotungwa na Bunge hili.
Je, Serikali ya inatoa Tamko gani?

Majibu, kwa kuwa hii utataratibu tuliojiwekea, serikali itafanya kila kila liwezekanalo kutimiza matakwa hayo.

Chiku abwao- Chadema
Baada ya Muungano tulikubaliana kuungana na tukaamua kupeperusha bendera moja. Lakini baadaye wazanzibar wakaruhusiwa kupeperusha bendera yao na ya muungano.
Mh. Waziri mkuu, kwa kuwa wazanzibar wamekubaliwa kupeperusha bendera yao, Kwanini Watanganyika wasipewe haki yao?

Waziri mkuu, Hivyo, ndivyo tulivyokubaliana.

Swali la Nyongeza;
Je, wewe waziri mkuu huoni kama watanganyika hawajapewa haki yao?

Waziri mkuu, Inawezekana wewe ukaona hivyo, lakini si kila mtu anaona kama wewe unavyoona.

Mbona Majibu mepesi saaaana bila vilelelezo makini kwa wananchi

Polygraph yangu inasema fika kabisa Waziri Mkuu alikuwa anajibu sivyo iatakiwavyo ili hali alikuwa ana majibu ya kujibu anaruka wajibu wake na siku hizi amegundua watu wana mtupia maswali ya ki ukweliiii akicheza tu yana mtoa nchi ya mstari sasa ameamu kujibu kimkato
 
alafua ule woga wa kujiunga na EAC unadhani unatoka kwa 'STD VII' tu, jiulize huyu mheshimiwa angekuwa anaendesha bunge la kiwango cha Kenya au Uganda angejibu hata swali moja!?

Aweeee zeee wapi Pinda , Wao ndio wakwanza kutupondea sisi watanzania ati elimu yetu bado na yeye nae basi aliye somea sheria nae kumbe elimu ndio hiyo ya majibu mepesi kwao nasi tuseme uwezo wake nae ni mdogo hatufai kuwa waziri mkuu period.

Anajaribu kupotezea kukwepa lawama huyo and that's fact na ataendelea hivyo, Alama za nyakati wanapaswa wazisome sana walizoe kuwa viongozi ni kula bata
 
Uwezo wa kujibu maswali bila kupewa mapema akayakariri hana ni mbwembwe za kubonyeza coughing button ya MIC pale mjengoni tu
 
Back
Top Bottom