Serikali yasitisha uhamisho kwa kada ya ualimu tu

Serikali yasitisha uhamisho kwa kada ya ualimu tu

Optic nerve

Member
Joined
Mar 18, 2019
Posts
19
Reaction score
20
Serikali kupitia naibu waziri Waitara imesitisha uhamisho kwa watumishi wa kada ya ualimu,huku sababu kuu ikiwa ni uongo kwa walimu wanaotaka kuhama.
 
Kusoma tusome kwa taabu!

Ajira tupate kwa mbinde!

Na maisha mtupangie!!!???

2020 sio mbali
 
"Make me wanna holla the way they do my life. This ain't living"
 
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🕶🕶🕶🕶👓👓👓👓
 
Yeye alipotaka kusariti wapiga kura wake mbona hakuwekewa kizuizi? Jamaa sura imefanana na Roho yake.
 
Back
Top Bottom