Umepewa namba za kutoa taarifa unataka aje pm.Dkt. Gwajima D nitakupeleka sehemu panaitwa chimbo, ni danguro, lina vitoto vidogo kuanzia miaka 13 vya kike kwa kiume vinatoa huduma mbalimbali za kingono. Njoo PM nikupeleke uone maadili yanavyo momonyolewa
Hahahaha leta location Tajiri yetuDkt. Gwajima D nitakupeleka sehemu panaitwa chimbo, ni danguro, lina vitoto vidogo kuanzia miaka 13 vya kike kwa kiume vinatoa huduma mbalimbali za kingono. Njoo PM nikupeleke uone maadili yanavyo momonyolewa
Ni kweli siju hizi Kawa kiongozi naona mkwara wa mkwe wake wakati wa Sakata la mkono wa Baunsa umemtuliza.Waziri gwajima anafanya kazi vizuri sana 👏👏
Ahsante Mhe. Dkt. Gwajima D kwa hatua hii muhimu.View attachment 2796573
Ni uamuzi wa Serikali kupitia Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Doroth Gwajima ikiwa ni baada ya Video ya Tangazo la huduma za 'Massage' iliyowekwa Mitandaoni, kuripotiwa kuwa ina Vitendo vilivyo kinyume na maadili.
Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara hiyo, huduma za Kituo zimesitishwa kuanzia Oktoba 26, 2023 kutokana na kutokidhi vigezo vya Sheria Namba 23 ya Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala, pia mmiliki ametozwa faini ya Tsh. Laki 5 pamoja na kupewa maelekezo mengine ambayo kama atayakiuka atafikishwa Mahakamani.
Pia,, Waziri Gwajima ameelekeza Mamlaka Husika kuwafuatilia Watoa Huduma wengine ili kuwabaini wasiotimiza matakwa ya Sheria na ikiwemo kuathiri Ustawi wa Jamii na kuchochea Mmomonyoko wa Maadili unaosababisha matukio ya Unyanyasaji, Udhalilishaji wa Kijinsia ambapo waaathirika wakuu ni Watoto.
Aidha, Wizara imetoa mawasiliano ya moja kwa moja kwa wanaotaka kuripoti masuala mbalimbali Wizarani watumie namba 0734 986503 na 026 2160250, matukio ya Ukatili wa Watoto namba 116 Saa 24 kila siku bila malipo. Na iwapo Waziri mwenye dhamana atahitajika, tuma ujumbe kwenye namba 0765 345777 na 0734 124191.
=============
Waziri Dkt. Gwajima D asiishie kufungia tu. Kuna kesi nyingi hapo zitakazotoa fundisho kwa wengine.Dkt. Gwajima D nitakupeleka sehemu panaitwa chimbo, ni danguro, lina vitoto vidogo kuanzia miaka 13 vya kike kwa kiume vinatoa huduma mbalimbali za kingono. Njoo PM nikupeleke uone maadili yanavyo momonyolewa
Nchi ina ujinga mwingi sana, wanaimba watu wajiajiri, wakijiajiri wanakuja kufunga biashara!Ni mambo ya kipumbavu. Massage ni adult service, ni private service na wanaoenda ni watu wazima tu. Sasa unafungia ili iweje?
Wote wawili mnavua nguo, alafu huwa inafanywa nje ya saluni. Yaani ile ni ngono kabisa.Hivi hii body to body massage inakuwagaje?
Serikali haitaki mfanyaneKwani kuna mtu analazimishwa kwenda huko? Na isitoshe wanaoenda ni watu wazima!
Dkt. Gwajima D nitakupeleka sehemu panaitwa chimbo, ni danguro, lina vitoto vidogo kuanzia miaka 13 vya kike kwa kiume vinatoa huduma mbalimbali za kingono. Njoo PM nikupeleke uone maadili yanavyo momonyolewa