Serikali yasalimu amri sheria ya takwimu

Serikali yasalimu amri sheria ya takwimu

Wakati wanapitisha hii sheria walikuwa hawajui matokeo yake?
 
Kujifanya jeuri na kuwaita mabeberu wakati tunahitaji msaada wao tunaenda kuomba. Wametunyima hela, miradi kuendelea isingewezekana hatimaye tumesalimu amri na huo ni mkopo tu.
Wazungu nawapenda Sana
 
Hahaha mtaani kuna msemo " masikini hana tabia, mpe pesa utamjua tabia yake halisi",
Ngoja wazipate mtaona.

MTU yeyeto aliyeathirika Na makuzi ya umasikini si wa kypewa dhamana ,wakipata nafasi au Pesa ulewa Na kuitumia kuwaumiza wengine, utadhani wao ndio chanzo cha kushindwa Kwa wazazi wao kuwapa malezi bora.Uwakomeshe uwanyooshe wenzio ili iweje,ukishawakomoa what's next,
 
Haya marekebisho yamekaa vizuri sababu yanatoa haki kwa mwongo wa takwimu kuchukuliwa hatua na aliyeumizwa na uongo wa kitakwimu.Haki hiyo kwenye Sheria iliyopita haikuwemo.Mfano Mimi nimezuliwa kitakwimu kuwa nimezaa watoto 40 nje ya ndoa.Sheria imenipa mwanya wa kulishughulikia Hilo kikamilifu.Hii Sheria hairuhusu uzushi inatoa Uhuru wa kutoa takwimu zozote ila mtoa takwimu a beware kuwa hizo takwimu Kama zitakuwa na tatizo zikaumiza mtu huyo mtu ana Uhuru wa kupambana na huyo mtoa takwimu Koko.Iwe mahakamani au popote.Haijatoa Uhuru holela usio na mipaka wa kujipikia takwimu zozote za kujitungia au kuokota majalalani.Sasa hivi Ni kuwa kila mtoa takwimu anatakiwa kujua kuwa Kuna Risk factor kwenye takwimu zake.

Aah Mbuzi jike mtataga safari hii,tuko nyuma ya mabeberu
 
Back
Top Bottom