Serikali yasalimu amri sheria ya takwimu

Serikali yasalimu amri sheria ya takwimu

Tumshukuru Dr Mpango aka Mpumbavu maana alienda Omba yeye kwa kujinyenyekeza
 
Kuna mijitu ina roho za ajabu, na nimiafrika, lakini kila siku inaota na kufikiri ni jinsi gani itaweza kuwatesa, kuwafunga, kuwateka na kuwaua binadamu wenzao. Mijitu ya namna hiyo kamwe haitapata baraka Duniani wala mbinguni maana imeishi Duniani ikimwakilisha shetani aliye chanzo cha hadaa na mateso ya wanadamu.
Kuna mijitu ina roho za ajabu, na nimiafrika, lakini kila siku inaota na kufikiri ni jinsi gani itaweza kuwatesa, kuwafunga, kuwateka na kuwaua binadamu wenzao ILI ITAWALE AU IENDELEE KUTAWALA. Mfano mzuri ni hawa watu wa LICHAMADOLA.
 
Hahaha usiwaamini ccm, wakiishapata pesa za world bank wanaweza kuirudisha kwa hati ya dharula hiyo sheria waliyoitoa. Kwa sasa wanataka kuwapumbaza mabeberu.
Hawawezi, fedha hizo zina masharti, zinaweza kuwatokea puani
 
Naona kuna watu hawajaona na kuelewa nini maana ya sentensi hii kwamba kutoa takwimu zinazotofautiana na taarifa rasmi za serikali..na pia kuongeza hivyo vifungu 24C hadi 24F hapo ndo watakapokua wanawabana watu
 
wasingechutama misaada ya Mabeberu wangeipata wapi tena??

Natoa pongezi za dhati kwa mabeberu kwa kuwanyoosha wazee wa jalala.
 
Kujifanya jeuri na kuwaita mabeberu wakati tunahitaji msaada wao tunaenda kuomba. Wametunyima hela, miradi kuendelea isingewezekana hatimaye tumesalimu amri na huo ni mkopo tu.
Yaleyale yakudharau wakunga wakati uzazi bado upo, au kumtukana mamba wakati halta mto hujauvuka!
 
Beberu asusiwi beberu akimbiwi,ukigusa maslai ya beberu lzm utaondoka Kwa kura,vita,mtutu,the Hague uburuzwe ukamsalimie chaz tailor au rola bagbo,au umfate ghadafi,
 
Nasisitiza hao mabeberu wasitoe hata senti mpaka sheria zote za hila alizokuja nazo jiwe zitolewe au akitoka madarakani.
Wameanza mdogomdogo mnyosha unyooshwa pia, kila mnyonge Na mnyonge wake.
 
Watutafutie pia nani alimshambulia rais wetu mpendwa ajaye wao walijifanya kumpuuza eti hawajulikani sasa wanaanza kukiona cha moto. Hakuna jiwe juu ya jiwe litakalo salia halita fikishwa mahakama ya uhalifu ya kimataifa.

Kanuni ya dunia inasema hivi hakuna mwanadamu yeyeto aliyewahi tendea uovu wenzake Na asilipwe kabla ajaondoka duniani. Kina Osama,Hitler, ghadafi,Mobutu nk wote wamevuna waliyoyapanda.Matumizi mabaya ya Madaraka, matumizi mabaya ya fedha za umma, upotevu wa watu ,kutokuheshimu katiba hayana kinga wajiandae tu.
 
mwafrika ni moja ya spicies hatari sana kwa ustawi wa binadamu.

bila species hii kudhibitwa kwa kupitia sheria za wazungu inaweza leta maangamizi makubwa kwa waafrika wengine.

asanteni sana mabeberu.
 
Pamoja na yote tunayowalaumu Wazungu, hawa Wazungu wana huruma zaidi na waafrika kuliko Watawala wengi wa nchi za kiafrika.

Kama laiti hawa wazungu wasingekuwepo, sijui dunia ingekuwaje.

Kuna mijitu ina roho za ajabu, na nimiafrika, lakini kila siku inaota na kufikiri ni jinsi gani itaweza kuwatesa, kuwafunga, kuwateka na kuwaua binadamu wenzao. Mijitu ya namna hiyo kamwe haitapata baraka Duniani wala mbinguni maana imeishi Duniani ikimwakilisha shetani aliye chanzo cha hadaa na mateso ya wanadamu.

Sala zetu kwa Mungu wa kweli, hawa walio mawakala wa shetani, wazidi kuanikwa na uovu wao ukakae hadharani ili kila aliye na roho ya Mungu apate kuuona.

True wangepewa haki ya kugawa pumzi hakuna angebaki,mwafrika hawezi mletea maendeleo mwafrika mwenzake zaidi atamuua,atamfilisi,atamteka,zulumu,kumfanyia madhila kila namna mwafrika mwenzake. Furaha ya kiongozi yeyeto wa kiafrica ni kuona anaowaongoza wakiwa fukara dhoofu hali ( kuwasomesha namba) ili Furaha yake itimie na falsafa yao ya wafanye watu kuwa masikini ili uwatawale.
 
Mpaka wabanwe ndio huamka.haya ile timu ya kuunga mkono pingeni sasa. maana tulipopinga mkasema sisi sio wazalendo sasa sijui na serikali yenu sio wazalendo ama vipi??

Nchi inayoongozwa na Mkuu wa kaya anayetegemea ushauri wa kina Bashite unategemea matokeo gani?
Tanzania ni nci inayotawaliwa na mapoyoyo na mambururas wa CCM....!!!Ni shiiiiiida sana.
 
Hahaha usiwaamini ccm, wakiishapata pesa za world bank wanaweza kuirudisha kwa hati ya dharula hiyo sheria waliyoitoa. Kwa sasa wanataka kuwapumbaza mabeberu.

Hapumbaziki mtu hapa. Ni mapoyoyo wenyewe ndo wanaojipumbaza......!!
Hiyo jeuri ya Magufuli na CCM wanayo? Mtu anayekupa misaada kwa zaidi ya 40% ya Bajeti yako kwa mwaka siyo mtu wa kumpuuza na kumdharau hata kidogo...!!
 
mwafrika ni moja ya spicies hatari sana kwa ustawi wa binadamu.

bila species hii kudhibitwa kwa kupitia sheria za wazungu inaweza leta maangamizi makubwa kwa waafrika wengine.

asanteni sana mabeberu.

Chifu Nanga Nabii wa uongo hasara kwa taifa la kusadikika ni kielelezo tosha cha uafrika roho mbaya,chuki,visasi, uroho,ubinafsi, kigeugeu,uongo,kiburi,majivuni,kupenda sifa,kukomoa watu,uzulumati,kupenda kuabudiwa.Furaha yake ni kuona waafrica wenzake wakiwa masikini wakipata tabu usiku Na mchana.
 
Back
Top Bottom