Serikali yapiga marufuku wapiga ramli nchini!

Waganga2.jpg

BBC News inaripoti kuwa, Tanzania imepiga marufuku waganga wa kienyeji ili kuzuia albino kuuawa na sehemu za miili yao kukatwa katwa na kutumika katika matambiko ya kichawi. Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe, amesema kuwa serikali itafanya operesheni ya kitaifa kuwakamata na kuwafikisha mahakamani waganga wa kienyeji ambao wataendelea na uganga wao. Operesheni itaanza ndani ya wiki mbili katika mikoa Mwanza, Geita Shinyanga, Simiyu na Tabora ambapo albino wengi wamekuwa wakishambuliwa.

Wiki iliyopita Umoja wa Mataifa uliitaka Tanzania ifanye uchunguzi wa kina juu ya kutekwa nyara kwa msichana albino mkoani Mwanza. Akizungumza baada ya kukutana na watoto wenye ulemavu huo ambao waliwahi kushambuliwa, mwakilishi mkaazi wa Umoja wa Mataifa nchini Alvaro Rodriguez alielezea "hasira" zake kwa kutoweka kwa msichana huyo. Aliitolea wito serikali ya Tanzania kuupa kipaumbele cha "hali ya juu kabisa" uchunguzi huo. (soma http://sabahionline.com/sw/articles/hoa/articles/newsbriefs/2015/01/09/newsbrief-04)

Pendo Emmanuelle Nundi mwenye umri wa miaka minne alitekwa nyara nyumbani kwao Mwanza na watu wenye silaha tarehe 27 Desemba mwaka jana. Katika maeneo mengine ya Tanzania, albino wamekuwa wakiuawa na kukatwa katwa na sehemu ya miili yao kutumika katika matambiko ya kichawi.

Mwezi Agosti mwaka jana, mtaalamu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa alionya kwamba mashambulizi dhidi albino yalikuwa yanaongezeka kuelekea uchaguzi wa rais unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2015, kwani wanasiasa hugeukia waganga wa kienyeji kutafuta uungaji mkono.

Mwaka 2012, CNN walionyesha documentary yao iliyosema kuwa wakati Kenya inaongoza kwa masuala ya ICT barani Afrika, Tanzania ilikuwa inaongoza kwa imani za uchawi duniani (zaidi soma https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/333733-cnn-kenya-inaongoza-kwa-matumizi-ya-ict-tanzania-kwa-uchawi.html)

Chanzo: Tanzania imposes ban on witchdoctors
 
Sasa kupiga marufuku waganga wa kienyeji ndo kutazuia zeruzeru kuuwawa?
 
The chairman of the Tanzanian Albinism Society (TAS) Ernest Njamakimaya has welcomed the ban saying that "If we and the government come together and show strength as one and speak as one, we can deal with the problem head-on. I believe this way we can get rid of these incidents once and for all."

Hata hivyo, tuna sheria dhidi ya witchcraft, ie the Witchcraft Act 2002 (as amended in 2009), but this law has rarely been enforced. Mie nafikiri pressure ya UN and other international organisations ndo imefanya serikali ijionyeshe kuwa is doing something.

The Act defines "witchcraft" to include sorcery, enchantment, bewitching, the use of instrument of witchcraft, the purported exercise of any occult power and the purported possession of any occult knowledge.

Section 3 of the Act provides that any person who–

(a) by his statements or actions represents himself to have the power of witchcraft;
(b) makes, uses, has in his possession or represents himself to possess any instruments of witchcraft;
(c) supplies to any other person any instrument of witchcraft;
(d) advises any other person upon the use of witchcraft or any instrument of witchcraft; or
(e) threatens to use or resorts to the use of witchcraft or any instrument of witchcraft upon or against any person or property, commits an offence under this Act.

Section 5.-(1) provides that any person who commits an offence under this Act with intent to cause death, disease, injury, or misfortune to any community, class of persons, person, or animal, or to cause injury to any property shall be liable to imprisonment not less than seven years.

Source: http://www.icla.up.ac.za/images/un/use-of-force/africa/Tanzania/The Witchcraft Act.pdf
 
Mkuu Salary Slip Utabiri wa sheikh Yahaya junior Una uhusiano na Nini kuhusu WAlemavu wa ngozi (Albino)? Kwani huyo utabiri wa sheikh Yahaya junior alitabiri kitu gani Mpaka huyo Waziri Kupiga Marufuku Ramli?
Mkuu,wanasiasa ni miongoni mwa watu wanaotajwa kuua Alibino kwa imani za kishirikina ili mambo yao yaende sawa.Sasa kama Sheikh Yayaha junior hajatoa matumaini kwa wengine unadhani wataridhika tu badala ya kwenda kwa waganga na wao kuweka mambo yao safi?

Unadhani mganga atamwambia mwanasiasa alete viungo gani kama sio vyao hao alibino ili nae mambo yawe safi?
 
Last edited by a moderator:
Hata hivyo, tuna sheria dhidi ya witchcraft, ie the Witchcraft Act 1928 (as amended in 2009), but this law has rarely been enforced. Mie nafikiri pressure ya UN and other international organisations ndo imefanya serikali ijionyeshe kuwa is doing something.

The Act defines "witchcraft" to include sorcery, enchantment, bewitching, the use of instrument of witchcraft, the purported exercise of any occult power and the purported possession of any occult knowledge.

Section 3 of the Act provides that any person who–

(a) by his statements or actions represents himself to have the power of witchcraft;
(b) makes, uses, has in his possession or represents himself to possess any instruments of witchcraft;
(c) supplies to any other person any instrument of witchcraft;
(d) advises any other person upon the use of witchcraft or any instrument of witchcraft; or
(e) threatens to use or resorts to the use of witchcraft or any instrument of witchcraft upon or against any person or property, commits an offence under this Act.

Section 5.-(1) provides that any person who commits an offence under this Act with intent to cause death, disease, injury, or misfortune to any community, class of persons, person, or animal, or to cause injury to any property shall be liable to imprisonment not less than seven years.

Source: http://www.icla.up.ac.za/images/un/use-of-force/africa/Tanzania/The Witchcraft Act.pdf

LMAO@ sheria dhidi ya witchcraft.

Seriously, haya mambo ya kufikirika yanathibitishikaje?

Okay, sawa, mtu anadai yeye ni mchawi, mahakama inathibitishaje uchawi wake?

Hizi sheria zingine ni vituko kweli.
 
Kuna confusion hapo, Waganga wa Kienyeji ndio hao wa tiba mbadala au? Na je wana tofauti na "Wachawi" Na je walikuwa wanatambulika vipi hadi kupigwa marufuku?
 
Nasubiri utekelezaji wake na matokeo yake.

Tanzania tunajua kutoa matamko sio kutoa ripoti za M&E za matamko. Sikushauri kusubiri, twende zetu tuwafate huko huko watupishe tufanye tathmini wenyewe
 
Kuna confusion hapo, Waganga wa Kienyeji ndio hao wa tiba mbadala au? Na je wana tofauti na "Wachawi" Na je walikuwa wanatambulika vipi hadi kupigwa marufuku?

Kuna Dictionaries zina-define witchdoctor kama mchawi au mganga wa kienyeji.

Perhaps sheria husika ndo ita-clarify hiyo confusion.

Ila dawa kienyeki za kuongeza za nguvu za kiume na kumvuta mpenzi zitaadimika na kupamba bei fasta.

Kazi ipo kitaa.
 
Serikali yetu as usual, imechelewa sana kutoa hili tamko! Kama tuna sheria inayokataza masuala ya kichawi kwa nini mambo haya yameachwa mpaka maafa yatokee in this extent na kupelekea kupata pressure toka nchi za kimagharibi? Hatuna viongozi ila tuna wachumia tumbo, holy shit!
 
LMAO@ sheria dhidi ya witchcraft.

Yes, ipo tena ni ya mwaka 1928 ilikuwa inaitwa Witchcraft Ordinance ilitungwa na wakoloni.

Tulipopata uhuru tukai-adopt kama ilivyokuwa hadi mwaka 2002 tulipofanya cosmetic changes kwa kuondoa neno "ordinance" na kuweka "Act" na kuongezea amendment chache mwaka 2009.

In its 2008 human rights report, the Tanzania Legal and Human Rights Centre (2009) concluded that http://mtega.com/2014/09/witchcraft-in-tanzanian-law/

Indeed Reynolds (1963:165) has long advised that witchcraft, like belief in religion or racism, "…may not be eradicated by the stroke of the pen or fortuitous prosecutions...the cure, if this is appropriate expression, is the removal of ignorance by introducing a scientific view of the world through educating the masses".

More Simeon Mesaki (2009) "Witchcraft and the law in Tanzania" International Journal of Sociology and Anthropology Vol. 1(8) pp. 132-138

Seriously, haya mambo ya kufikirika yanathibitishikaje?

Okay, sawa, mtu anadai yeye ni mchawi, mahakama inathibitishaje uchawi wake?

Kama anadai yeye ni mchawi hapo probably atakuwa ame-confess. But sheria inawapa wakuu wa wilaya mamlaka ya kutoa order kuwa mtu anaye anaye-practice witchcraft a-reside in certain places.

Atajuaje kama mtu ana-practice witchcraft? The law says "if it is reported to [him/her], after due inquiry, is satisfied that the person so suspected causes or is likely to cause fear, annoyance or injury in mind, person or property to any other person by means of pretended witchcraft or is practising witchcraft for gain or reward, he may, for reasons to be recorded, order the person so suspected to reside in any specified locality within his district until such order is variedor revoked, and further or in the alternative may order such person to report to the District Commissioner or to a local authority at such intervals not being less than seven days as he shall direct until such order is varied or revoked" per section 8(1).

Hizi sheria zingine ni vituko kweli.

Yea, indeed any person who without lawful excuse refuses or neglects to obey an order lawfully made by the the District Commissioner, Regional Commission or the President is liable to a fine not exceeding one hundred and fifty shillings or to imprisonment of either description for a term not exceeding two months - per section 8(7)

Kuna mtu kasema "the powers given in the law to District Commissioners seem like a clear abuse of rights – there's no due process here. This has made the law unpopular with bodies such as the Nyalali Commission and the UN Human Rights Committee. It would also seem to encourage people to make baseless accusations of witchcraft" - http://mtega.com/2014/09/witchcraft-in-tanzanian-law/
 
Nyani Ngabu, LMAO, EMT, et al. Sheria iliyonukuliwa inazungumzia waganga wa kienyeji wanaojishughulisha na upigaji ramli ambao ndio hasa unaopelekea watu kufanya mambo kwa imani za kishirikina na sio tiba mbadala ambayo inatumia miti shamba au vitu vinavyoonekana kuwa vya kawaida kutibu magonjwa mbali mbali. Ramli ni shiiiida! Hao ndio waliopigwa ban, but too late, don't we have active leaders any more?
 
Kuna Dictionaries zina-define witchdoctor kama mchawi au mganga wa kienyeji.

Perhaps sheria husika ndo ita-clarify hiyo confusion.

Mbali ya confusion ya maneno fikra zangu zinaona kuwa hapa wazi hakuna kinachoeleweka kuanzia chini mpaka juu. Tatizo linawezekana lisiwe kwa huo "uchawi" na "wachawi" wenyewe bali uwezo mdogo wa wahusika wenye Mamlaka.
Kwa kuanzia tu unadhibiti vipi mtu anayetumia nguvu zisizoonekana? Hapa tu naona watu wanakabiliana na matokeo badala ya kudili na chanzo.
Chanzo naona ni ujinga na mchakato wake ndio unapata expression hizi za uchawi, uvivu, uhalifu, umasikini, maradhi nk. Matokeo: Panya road, mauaji ya albino, vifo vya maradhi yanayozuilika nk. Sasa wanaibuka hawa ambao sad enough ni matokeo ya ujinga huo wanaanza kupambana na matokeo. Kamata Panya road, piga marufuku Waganga/Wachawi tunaendelea tena kwenye mzunguko wa ujinga.....
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Serikali yetu as usual, imechelewa sana kutoa hili tamko! Kama tuna sheria inayokataza masuala ya kichawi kwa nini mambo haya yameachwa mpaka maafa yatokee in this extent na kupelekea kupata pressure toka nchi za kimagharibi? Hatuna viongozi ila tuna wachumia tumbo, holy shit!

Yes, inaonekana kama hili tamko limekuja baada ya UN kupiga mkwara kutokana na kuteka kwa yule mtoto mwezi uliopita.

Kuhusiana na hiyo sheria kama iliyosemwa "The law is a blunt instrument with which to try to tackle such a sensitive and multi-faceted problem. Should it prioritise protection of older women against accusations, protection of people with albinism against abuse, or protection of everyone against charlatans and con-artists? In some ways, focussing on any one of these prioritise makes addressing the others more difficult. A law that criminalises accusations could make it easier for abusers to continue, for example. But if the law focusses on the abuses, it could encourage accusations."
 
Mbali ya confusion ya maneno fikra zangu zinaona kuwa hapa wazi hakuna kinachoeleweka kuanzia chini mpaka juu. Tatizo linawezekana lisiwe kwa huo "uchawi" na "wachawi" wenyewe bali uwezo mdogo wa wahusika wenye Mamlaka.
Kwa kuanzia tu unadhibiti vipi mtu anayetumia nguvu zisizoonekana? Hapa tu naona watu wanakabiliana na matokeo badala ya kudili na chanzo.
Chanzo naona ni ujinga na mchakato wake ndio unapata expression hizi za uchawi, uvivu, uhalifu, umasikini, maradhi nk. Matokeo: Panya road, mauaji ya albino, vifo vya maradhi yanayozuilika nk. Sasa wanaibuka hawa ambao sad enough ni matokeo ya ujinga huo wanaanza kupambana na matokeo. Kamata Panya road, piga marufuku Waganga/Wachawi tunaendelea tena kwenye mzunguko wa ujinga.....

Wasiwasi wangu hiyo operesheni isije ikawa kama ile operesheni tokomeza ujangili au ile iliyomfanya mpaka Mwinyi kuachia ngazi.
 
Mbali ya confusion ya maneno fikra zangu zinaona kuwa hapa wazi hakuna kinachoeleweka kuanzia chini mpaka juu. Tatizo linawezekana lisiwe kwa huo "uchawi" na "wachawi" wenyewe bali uwezo mdogo wa wahusika wenye Mamlaka.
Kwa kuanzia tu unadhibiti vipi mtu anayetumia nguvu zisizoonekana? Hapa tu naona watu wanakabiliana na matokeo badala ya kudili na chanzo.
Chanzo naona ni ujinga na mchakato wake ndio unapata expression hizi za uchawi, uvivu, uhalifu, umasikini, maradhi nk. Matokeo: Panya road, mauaji ya albino, vifo vya maradhi yanayozuilika nk. Sasa wanaibuka hawa ambao sad enough ni matokeo ya ujinga huo wanaanza kupambana na matokeo. Kamata Panya road, piga marufuku Waganga/Wachawi tunaendelea tena kwenye mzunguko wa ujinga.....

I mean, haya mambo ya uchawi ni mambo ya imani tu, yaani ni mambo ya kufikirika.

Kitendo tu cha kutunga sheria dhidi ya imani kwangu mimi ni cha kipuuzi kabisa.

Sikatai kutunga sheria dhidi ya matendo ambayo yanadhuru watu, lakini juu ya mambo ya kufikirika tu ambayo mtu pengine anayaona kichwani mwake?

Kuna mambo ya ajabu kweli hapa duniani.
 
Imepiga marufuku bangi na gongo, je imefanikiwa?

Nasubiri utekelezaji wake na matokeo yake.

Waziri husika kasema serikali itafanya operesheni kwa wale watakaokaidi amri hiyo na itaanza ndani ya wiki mbili.

Hata ukeketaji umepigwa marufuku lakini unaendelea miaka nenda rudi. Haya ni sawa na mambo ya imani.

Ha! Ha! Ha! Mbona ukeketaji unaendelea ? Ramli zinapigwa chumbani weWe unakataza wizarani !

Hivi wale watoto waliokimbia kukeketwa wamesharudi makwao?
 
Yes, ipo tena ni ya mwaka 1928 ilikuwa inaitwa Witchcraft Ordinance ilitungwa na wakoloni.

Tulipopata uhuru tukai-adopt kama ilivyokuwa hadi mwaka 2002 tulipofanya cosmetic changes kwa kuondoa neno "ordinance" na kuweka "Act" na kuongezea amendment chache mwaka 2009.

In its 2008 human rights report, the Tanzania Legal and Human Rights Centre (2009) concluded that Witchcraft in Tanzanian law | mtega

Indeed Reynolds (1963:165) has long advised that witchcraft, like belief in religion or racism, "…may not be eradicated by the stroke of the pen or fortuitous prosecutions...the cure, if this is appropriate expression, is the removal of ignorance by introducing a scientific view of the world through educating the masses".

More Simeon Mesaki (2009) "Witchcraft and the law in Tanzania" International Journal of Sociology and Anthropology Vol. 1(8) pp. 132-138

Kama anadai yeye ni mchawi hapo probably atakuwa ame-confess. But sheria inawapa wakuu wa wilaya mamlaka ya kutoa order kuwa mtu anaye anaye-practice witchcraft a-reside in certain places.

Atajuaje kama mtu ana-practice witchcraft? The law says "if it is reported to [him/her], after due inquiry, is satisfied that the person so suspected causes or is likely to cause fear, annoyance or injury in mind, person or property to any other person by means of pretended witchcraft or is practising witchcraft for gain or reward, he may, for reasons to be recorded, order the person so suspected to reside in any specified locality within his district until such order is variedor revoked, and further or in the alternative may order such person to report to the District Commissioner or to a local authority at such intervals not being less than seven days as he shall direct until such order is varied or revoked" per section 8(1).

Yea, indeed any person who without lawful excuse refuses or neglects to obey an order lawfully made by the the District Commissioner, Regional Commission or the President is liable to a fine not exceeding one hundred and fifty shillings or to imprisonment of either description for a term not exceeding two months - per section 8(7)

Kuna mtu kasema "the powers given in the law to District Commissioners seem like a clear abuse of rights – there's no due process here. This has made the law unpopular with bodies such as the Nyalali Commission and the UN Human Rights Committee. It would also seem to encourage people to make baseless accusations of witchcraft" - Witchcraft in Tanzanian law | mtega

Kuna kesi za uchawi ambazo zishawahi kuwa litigated mahakamani?

I'd love to be in attendance in the gallery to witness such proceedings.
 
I mean, haya mambo ya uchawi ni mambo ya imani tu, yaani ni mambo ya kufikirika.

Kitendo tu cha kutunga sheria dhidi ya imani kwangu mimi ni cha kipuuzi kabisa.

Sikatai kutunga sheria dhidi ya matendo ambayo yanadhuru watu, lakini juu ya mambo ya kufikirika tu ambayo mtu pengine anayaona kichwani mwake?

Kuna mambo ya ajabu kweli hapa duniani.

Ujinga ujinga tu, wangeenda mbali na kupiga marufuku na hizi dini basi. Naona ni hatua nzuri kama yangedhibitiwa madhara maana maajabu hayazuiliki duniani humu, ni kuyatafutia balance tu na kujifunza njia bora ya ku coexist nayo
 
Kuna kesi za uchawi ambazo zishawahi kuwa litigated mahakamani?

Zipo kama Nzinza s/o Lihoyo v. Gambason Chenge and 5 Others Criminal Appeal No. 14 of 1988 (Unreported) na Criminal Sessions Case No. 99 of 1985 (Unreported)
 
Back
Top Bottom