Serikali yapiga marufuku kusambaza mafuta ya mashoga

Sasa anayefollow mashoga Instagram na hawa wanaosambaza hizo lubricant nani bora?

Halafu mtu aniambie Makonda zinamtosha basi yeye ndio atakuwa punguwani wa kwanza.
 
Mwanamke anayekubali kufanya huo uchafu huwezi kumtosheleza peke yako hivyo ni hatari kuwa naye bora umruhusu akaendeleze huo ushetani wake mbele ya safari kuliko kukubaliana nae halafu eti ndio usalimike na maradhi
Halafu na huyo mwingine utakayempata kama naye anapenda mambo nayo?, naye utamfukuza?, utaoa wangapi?
 
Kumbe walikuwa wanajua huo mpango.
Ni ujuha wa hali ya juu mtani kuwa wasinyanyasike na tuheshimu hali zao maana ikitoka hapo mwisho tutaruhusu ndoa zao kisheria hapa naunga mkono sababu inachochoa ongezeko la umaluuni huo.
Wacha wasokomezewe kavukavu wachanwe chanwe watatia akili.
 
Serikali imepiga marufuku miradi inayohusisha utoaji wa vilainishi kwa mashoga kama njia ya kukinga kundi hilo na maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU).

Akizungumza katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kagera baada ya kuzindua wodi ya wazazi, Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema suala hilo halikubaliki na ni kukiuka miiko na maadili ya Watanzania.

Amesema mashirika yasiyo ya Kiserikali yanaweza kutumia njia nyingine mbadala za kudhibiti maambukizi ya Ukimwi na siyo kutoa vilainishi ambavyo kwa upande wa pili vinaweza kuwa vinachochea tatizo hilo.

Awali, akizungumza katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera, waziri huyo amesema kuwa Serikali iko mbioni kuandaa muswada wa sheria utakaowasilishwa bungeni ili kutunga sheria itakayomlazimisha kila mwananchi kuwa na bima ya afya.


Chanzo: Mwananchi
hii nchi itadevelop kwa namna hii kweli?
 
unafiki wa watanzania ndio unatuua zamani waliwahi kufungia wimbo wa remmy wa mambo kwa soksi eti kwa madai yao ni matusi,wakati alitumia tafsida, sikuk hizi wanatamka kabisa condom
 
The possession of knowledge does not kill the sense of wonder and mystery. There is always more mystery.
 
Back
Top Bottom