Hapa naona serikali imekoroga kwani kuna mambo mengi sana ya muhimu na yanayotuhusu wananchi wa Tanzania kiujumla.
Km...Mpaka leo hii bado kuna wanafunzi nchini wanaosomea chini ya mti....kwa kukosa fedha aidha za kumalizia kujenga madarasa au hakuna madarasa kabisa....
.
......Mpaka leo hii wafanyakazi wastaafu wa Railways ambao hawajalipwa pesa zao walizozitolea jasho....wengine wamefariki bila kuiona hiyo pesa...
.......Mpaka leo hii kuna wananchi wengi tu ambao hawapati maji safi kenye mabomba yao...yaani "maji ya bomba" ni kitu kigeni kwao....na hili ni tatizo la nci nzima....
.......Mpaka leo hii kuna wanafunzi wengi tu ambao wamefaulu vizuri katika mitihani yao ...iwe darasa la saba, kidato cha nne, cha sita na pia chuo kikuu...ambao wanashindwa kuendelea kimaisha kwasababu hakuna vibarua au kazi ambazo zingewawezesha kuyamudu maisha kama inavyotakiwa....
.
......Mpaka leo hii jibu au majibu hayajapatikana kutokana na maswali yalioulizwa
kuhusu ufisadi uliofanyika kama ifuatavyo:
.
......Mamilioni ya dola yaliyopotea wakati wa uongozi wa Rais B. Mkapa;
.......Sakata la "Richmond" mpaka waziri mkuu (wa serikali ya sasa) akajiuzulu;
.......Benki kuu, Treasury na hadi kifo cha Balalli;
.......Majina ya wafanya biashara waliotajwa na Mengi kuhusu ufisadi...yanaelea tu
wakati serikali imekaa kimya...???!!!??...;
.......Maswali kuhusu umiliki wa kampuni kadhaa za madini ambazo zimehusishwa na
serikali;
.......Umeme vijijini;
Naweza kuandika mpaka kesho...orodha ni ndefu sana ya "mambo muhimu" ambayo serikali inatakiwa iyatilie mkazo....lakini....naona jambo muhimu kwao ni "Usafi wa Viongozi kwenye Mtandao"...ha..ha..ha..ha.. inachekesha sana kuona kwamba hili nalo limo kwenye "agenda" ya serikali.

Last edited: