Hao madaktari wanakuja na x-ray machines, CT-scan, vitanda na dawa? Au wanakuja na makoti meupe tu?
Na nani anaratibu ujio wa hao madaktari? Serikali ya CCM ni wazuri sana kwenye mambo ya 'dharura', tuliona umeme wa dharura, then chakula cha dharura kupambana na mfumko wa bei, sasa tunapata madaktari wa dharura! Na wabunge wa CCM watashangilia huu mkakati wa kujimaliza!