King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,678
- 68,662
Magari hayo yenye thaman kwa ujumla wa $2.5mil...yamepaki palm residence! Haya sasa walimu na madakitaree kazi ni kwenu.
Mkuu habari ya kufikirika au??toa picha mkuu maana serikali kwa kauri yake yenyewe ilisha sema kuyauza hata yaliyopo sasa hayo 25 yanini??Na Palm residence ni wapi mkuu?? King Kong IIIMagari hayo yenye thaman kwa ujumla wa $2.5mil...yamepaki palm residence! Haya sasa walimu na madakitaree kazi ni kwenu.
mkuu picha tafadhali
Magari hayo yenye thaman kwa ujumla wa $2.5mil...yamepaki palm residence! Haya sasa walimu na madakitaree kazi ni kwenu.
Mahakamani! Mahakamani! Bunch of jangiliz wamejaa hukoHilo swala si liko mahakamani,hurusiwi kulizungumzia!!!
jamani wanajf msilalamike kwanza, inawezekana hizi ni za kusaidia utatuzi wa mgogolo na Malawi kwa kuwapeleka maofisa wa Jeshi huko!Safi sana
Nyie endeeleeni kugoma na kugoma
Serikali sikivu haina uwezo wa kuwalipa kiwango mnachotaka
Hilo swala si liko mahakamani,hurusiwi kulizungumzia!!!
Si bibi yako huyo, mnafanana kweli mawazo
tundu lisu kaa chini source - madam spika