Mamndenyi
POLE SANA LEO UMEONA UHUNI WA SERIKALI AMBAYO KUTWA KUCHAA HUISHI KUIuSIFIA..,, SERIKALI IKO BIZE NA MATUMIZI YA KIJINGA, SAFARI ZA KIJINGA ZA JK NA MISURURU YA WATU 200 HADI 500 BILA SABABU..HAKUNA MIPANGO YA KUWEKEZA KATIKA ELIMU.. TENA SI MTOTO WAKO TU WAKO WATOTO ZAIDI YA 450 WAMEKOSA MIKOPO, NA SABABU HAZIELEWEKI, WAMETANUA MAGOLI ILI WATOTO WAFAURU, LAKINI PESA ZILIENDA KUTUMIKA KUKATA MAUNO BMK.. WAKATI KUNA MAMBO YA MUHIMU KAMA HAYO HAKUNA PESA, KWA SASA HATA HALMASHAURI WATUMISHI WAKO BIZE NA FACEBOOK HAKUNA PESA ZA MIRADI ETC.
NDIO UONE UPUUZI WA SERIKALI YAKO UNAYOISHABIKIA KILA SIKU, ETI WANATUMIA PESA KUENDESHA MATAMASHA YA KIJINGA TU,.,. OHH SIJUI NAIFAGILIA TANZANIA, MARA TAMASHA LA MPIRA VIONGOZI WA DINI..
HAYO NDIYO MAVUNO YA KUSHABIKIA CHAMA CHA WAPUUZI, ... MAANA KATIBU MKUU WA CHAMA CHAKO MWENYEWE AMEKIRI NI MPUUZI NA CHAMA CHOTE NI WAPUUZI INCLUDING ....
Salamu sana.
Hapa nakaribia kupasuka kwa uhuni niliofanyiwa na bodi ya mikopo.
Imekuwaje mtoto wa mimi mkulima asipewr mkopo hata senti moja.
Kasoma shule za kidumu na mfagio tokea msingi hadi a levo.
Mtoto wa kike kajitahidi kapata div moja. Jkt kwa mujibu kaende. Leo wanasema eti budget exhausted.
Bado sijaelewa somo.
Tena mi nalalamika kivyangu. Na wewe ulalamike yako.
Halafu uzi wangu ubaki hapa hapa kwa kuwa chanzo cha kuifilisi bajeti ya masomo ya juu kipo hapa.
.........
unaniongezea hasira ujuwe.
Unaniongezea hasira ujuwe.
Him.....Mamndenyi
POLE SANA LEO UMEONA UHUNI WA SERIKALI AMBAYO KUTWA KUCHAA HUISHI KUISIFIA..,, SERIKALI IKO BIZE NA MATUMIZI YA KIJINGA, SAFARI ZA KIJINGA ZA JK NA MISURURU YA WATU 200 HADI 500 BILA SABABU..HAKUNA MIPANGO YA KUWEKEZA KATIKA ELIMU.. TENA SI MTOTO WAKO TU WAKO WATOTO ZAIDI YA 450 WAMEKOSA MIKOPO, NA SABABU HAZIELEWEKI, WAMETANUA MAGOLI ILI WATOTO WAFAURU, LAKINI PESA ZILIENDA KUTUMIKA KUKATA MAUNO BMK.. WAKATI KUNA MAMBO YA MUHIMU KAMA HAYO HAKUNA PESA, KWA SASA HATA HALMASHAURI WATUMISHI WAKO BIZE NA FACEBOOK HAKUNA PESA ZA MIRADI ETC.
NDIO UONE UPUUZI WA SERIKALI YAKO UNAYOISHABIKIA KILA SIKU, ETI WANATUMIA PESA KUENDESHA MATAMASHA YA KIJINGA TU,.,. OHH SIJUI NAIFAGILIA TANZANIA, MARA TAMASHA LA MPIRA VIONGOZI WA DINI..
HAYO NDIYO MAVUNO YA KUSHABIKIA CHAMA CHA WAPUUZI, ... MAANA KATIBU MKUU WA CHAMA CHAKO MWENYEWE AMEKIRI NI MPUUZI NA CHAMA CHOTE NI WAPUUZI INCLUDING ....
Please usifanye huu uzi ukafungiwa kwa kuwa nitafungua mwingine. Jisaidie ulale.
Kabla yakunijibu soma kitabu cha tcu guideline cha mwaka huu.
Salamu sana.
Hapa nakaribia kupasuka kwa uhuni niliofanyiwa na bodi ya mikopo.
Imekuwaje mtoto wa mimi mkulima asipewr mkopo hata senti moja.
Kasoma shule za kidumu na mfagio tokea msingi hadi a levo.
Mtoto wa kike kajitahidi kapata div moja. Jkt kwa mujibu kaende. Leo wanasema eti budget exhausted.
Bado sijaelewa somo.
Tena mi nalalamika kivyangu. Na wewe ulalamike yako.
Halafu uzi wangu ubaki hapa hapa kwa kuwa chanzo cha kuifilisi bajeti ya masomo ya juu kipo hapa.
.........
Pamoja na hayo yote lakini walio kuwa kwenye uhakika kupata mkopo ni wale walio chagua course za Ualimu na Udaktari na baadhi ya course za sayansi!
Kuna watoto wa ndugu zangu wanne mmoja kachukua Education in physics mwingine Education in physics wote hawa wamepewa na walikuwa na division three!
Na wawili wote walichagua course ya Accounting na wamekosa mkopo na walikuwa na division two na walisoma shule za kawaida! Katika hawa kuna mmoja amefiwa na Mama alikosa lakini amekwenda bodi wakamwambia kuna makosa yamefanyika!
Salamu sana.
Hapa nakaribia kupasuka kwa uhuni niliofanyiwa na bodi ya mikopo.
Imekuwaje mtoto wa mimi mkulima asipewr mkopo hata senti moja.
Kasoma shule za kidumu na mfagio tokea msingi hadi a levo.
Mtoto wa kike kajitahidi kapata div moja. Jkt kwa mujibu kaende. Leo wanasema eti budget exhausted.
Bado sijaelewa somo.
Tena mi nalalamika kivyangu. Na wewe ulalamike yako.
Halafu uzi wangu ubaki hapa hapa kwa kuwa chanzo cha kuifilisi bajeti ya masomo ya juu kipo hapa.
.........
Leo bi mkubwa unanifurahisha kweli yamekukuta yanayowakuta watanzania wenzio. Pole!Please usifanye huu uzi ukafungiwa kwa kuwa nitafungua mwingine. Jisaidie ulale.