Serikali yaleta wataalamu kutoka China kudhibiti mitandao ya kijamii kama YouTube, Facebook

Mitandao iliharibu v
Serikali ya Tanzania imelata wataalamu kutoka China kuisaidia kudhibiti mitandao ya kijamii kama Facebook, Instagram, Youtube, WhatsApp na nyingine kama ambavyo China imeweza kuidhibiti mitandao hii nchini mwao, ambapo haipatikani nchini China bali mitandao ya kijamii ya kichina.

Hayo yamesemwa na Naibu waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Edwin Ngonyani alivyokuwa akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari, wadau wa mitandao na wataalamu kutoka China.

Amesema japo sisi hatuwezi kuwa na mitandao yetu ya kijamii na tunatumia mitandao ya kijamii ya Marekani ila wataangalia namna ya kufanya ili mtu anayeandika kwenye mtandao awajibike na anachokiandika maana mitando hii imekuwa ikitumika kuharibu nchi kama ilivyotokea kwenye nchi za Kiarabu

Je, mitandao hii wataidhibitije?

Mitandao ya kijamii iliharibu vipi kwenye nchi za Kiarabu?
 
nasubiri wataalam kutoka kolomije waje kuidhibiti JF na whatsapp

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
DBJ6slxXoAAT2jS.jpg
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Serikali ya Tanzania imelata wataalamu kutoka China kuisaidia kudhibiti mitandao ya kijamii kama Facebook, Instagram, Youtube, WhatsApp na nyingine kama ambavyo China imeweza kuidhibiti mitandao hii nchini mwao, ambapo haipatikani nchini China bali mitandao ya kijamii ya kichina.

Hayo yamesemwa na Naibu waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Edwin Ngonyani alivyokuwa akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari, wadau wa mitandao na wataalamu kutoka China.

Amesema japo sisi hatuwezi kuwa na mitandao yetu ya kijamii na tunatumia mitandao ya kijamii ya Marekani ila wataangalia namna ya kufanya ili mtu anayeandika kwenye mtandao awajibike na anachokiandika maana mitando hii imekuwa ikitumika kuharibu nchi kama ilivyotokea kwenye nchi za Kiarabu

Je, mitandao hii wataidhibitije?

Kama IT specialized in Security, No one has the power to control or monopoly cyber. there are tools we use to crack, penetrate and break any government space censorship. Tukiwa Dubai, China, Korea tuliweza kutumia internet kama tuko bongo wakati cyberspace yao wamefunga advanced firewalls that scans every incoming and outgoing internet traffics.

Waje tuu na sisi tutaendelea kubrowse tutakavyo. ni kwa wale tuu ambao hawana maarifa ya kutumia internet behind firewalls. Waache wajekulipwa jasho letu bila kutumia nguvu.

Halafu akili mbaya kumuita mgeni aje kukulindia nyumba yako. Wakati huyo mgeni sio jamaa yako wala sio ndugu yako. ambapo nyumba yako ikivunjwa unamwendea nani? Huyohuyo anaekulindia ndie awezae kuivunja pia.

Kweli akili ndogo inawezaje kutawala akili kubwa? IGNORANCE OF THE CENTUARY!!!!
 
Wao wanachukua Mifano ya hovyo..CCM shida sana..Kuna Nchi ambazo hazijadhibiti na zimefaidika na Mitandao ya Kijamii..Kwanini asichukue Mifano kutoka huko?
 
Maneno mengi angefupisha tu na kusema wanawalipa china mabilioni ili waweze kunasa mawasiliano ya kila mtanzania.

Very stupid, yaani viongozi wa kipindi hiki kwa kujitahidi kumfurahisha malaika wanatia huruma. Nshasema tatizo la Tanzania ni wazee kama hawa, wameshika ngazi zote za juu wanataka tuishi kizamani. Sasa wawape china control nzima ya mtandao bongo wanategemea nini? China sio bongo hatuwezi tukawaamini, watanasa kila kitu kinachoendelea bongo siku tukiwachokoza au kuwaletea mzaa kwenye kampuni zao zilizopo nchini watatuvuruga vibaya sana.

Sijui imekuaje hawa jamaa wanawaamini sana wachina, kuna vitu vingine sio vya kuita nchi nyingine ikusaidie, ni either ufanye mwenyewe au kama huwezi subiri hadi ufike muda uwe na utaalamu wa kutosha, kuleta external powers kuchukua control kama hii ni security risk kubwa mno. We can't be this stupid, si watafute wataalamu waliosoma Computer Science wawasaidie, hata mwanafunzi wa chuoni anaweza kulielezea hili, its easy kuweka many security holes ndani yake na mtu asikugundue, kama wamarekani walichokua wanawafanyia wajapan, walinasa kila kitu kuanzia messages, emails, yaani every info ya wajapan ikawa mikononi.
 
Back
Top Bottom