mputamaseko
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 1,401
- 949
Failed State
hahahahahambona hamna muhuri kwenye barua. Nahc Nkanga atakua kajijibu tena coz hapendagi ujinga.
uwihh.Hata hyo nahis kesho itakanushwa kuwa hawakukanusha kukanushwa kwa kanusho lililokanushwa na kanusho
nkanga chief angeanika mwezi wa 12 mwakani eeh?Labda kosa la mleta uzi wa mwanzo ni kutaja muda wa karibu sana......
Inawezekana ajira hakuna mwaka huu wa fedha.....maana mkanushaji hataji lini ajira na vyeo vitapanda.
Mkanushaji alitakiwa kusema lini zitatoka hizo ajira na mambo mengine.
Hapo kidoooooogo angewakuna.....ila angeandika 2020 katika kuunda "team flani"nkanga chief angeanika mwezi wa 12 mwakani eeh?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] unataka matusi mkuu wa 8 kote hukoHehe...sasa mbona serikali iko kimya tu kuhusu lini watawaajiri watanzania wenzetu wanaongoja hizo ajira?wangekanusha habari hii ya uwongo na waseme kuwa wao wataajiri mwezi wa nane 2017 kwa mfano.. 🙂
[emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23]Huyu nkanga chief hajapewa banned kweli...mods mkimuacha aise natoka jamii forum...mana hata mimi niliathirika na tangazo lake kumbe ni uzushi
hehe....hatukawii kusikia kutakuwa na uhakiki wa marais wa zamani kama walishinda kweli..hahahaHapo kidoooooogo angewakuna.....ila angeandika 2020 katika kuunda "team flani"