Serikali yajikanyaga yenyewe

Hivi wewe unatumia ubongo au akili? Una umri gani wewe? Kama unaambiwa dawa hazipatikani nchini hao private sekta wao watazipata wapi? Unajua gharama za matibabu kwenye hospitali za private ukilinganisha na za serikali? Ni masikini gani anayemudu gharama hizo?
 
Stop talking Sh***t. Hakuna kitu kinachotiwa chumvi hapo juu. Tumeambiwa yote mawili. Mmoja amesema hakuna upungufu wa dawa, na mwingine akasema upungufu uliopo ni wa muda mfupi. We can stop being goofy and tell the truth.
 
Waache Viongozi wafanye kazi ukiweza kua Rais siku moja utuonyeshe huo ubingwa wako wa kua kiongozi bora.
 
Unahitaji kuelimishwa sana. Naona hujui hata haki zako mwenyewe. Yaani tuwachague viongozi kisha tuwaache wafanye wanavyotaka? you sound like a moron...
 
Umenitukana tayari,umepata shs ngapi? Kama kweli wewe mgonjwa hiyo akili ya kutukana huku JF unaipata wapi?Ebu taka hiyo hospital uliyolazwa na ueleze kwa ufasaha tatizo lako manake matusi hayatusaidii hapa.
Wewe ni CHIZY ndio maana unashabika VIFO vya watanzania wenzako. Huna chembe ya aibu mwanaizaya mkubwa!
 
Stop talking Sh***t. Hakuna kitu kinachotiwa chumvi hapo juu. Tumeambiwa yote mawili. Mmoja amesema hakuna upungufu wa dawa, na mwingine akasema upungufu uliopo ni wa muda mfupi. We can stop being goofy and tell the truth.
Mkuu nimegundua hilo jamaa ni CHIZY la Lumumba. Lipuuze, usijibizane nalo.
 
Ile U-TURN iliyopigwa inahitaji maelezo kidogo, si kwa unafiki ule. Nimemuita akafanye clearance ya ule uchafu kule at least he/she has to admit
You are a snitch na mtu mwenye tabia za kike. Kamalize mwenyewe huko kama tu unamhusu si ataenda?
 
Unahitaji kuelimishwa sana. Naona hujui hata haki zako mwenyewe. Yaani tuwachague viongozi kisha tuwaache wafanye wanavyotaka? you sound like a moron...
Acha matusi kwakua hakuna unachoweza kubadilisha kwa kutukana,jazba hazitakusaidia kwa lolote,ni wagonjwa wangapi waliokufa kwa kukosa dawa hadi ufikie hatua ya kutokwa na povu jingi hivyo?
 
Umenitukana tayari,umepata shs ngapi? Kama kweli wewe mgonjwa hiyo akili ya kutukana huku JF unaipata wapi?Ebu taka hiyo hospital uliyolazwa na ueleze kwa ufasaha tatizo lako manake matusi hayatusaidii hapa.
Utafiti uliofanya na wizara ya Afya unaonyesha watanzania wengi ni vichaa wewe unaweza kuwa mmojawapo.
 
Wewe ni CHIZY ndio maana unashabika VIFO vya watanzania wenzako. Huna chembe ya aibu mwanaizaya mkubwa!
Wewe na ukoo wako ni ndiyo machizy manake hata hujui unachokiongea.Weka idadi ya wagonjwa waliokufa kwa kukosa dawa hapa.
 
Jana mm nimeenda kuchoma sindano ya tetenus (kinga) nikaambiwa niifuate mkoani daaahh ni hatari sijui huyu shetani anatupeka wapi?
 
Mkuu kila mahali hakuna nashangaa kuna vichaa wanashabikia huu ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…