Nilifikiri hayo mabaki ya watu yalikuwa ya kujifunzia (Chou kikuu) na siyo ya hospitali! Kwa nini ifungiwe hospitali isiyo husika?Imefungiwa hospitali sio chuo na sababu ni ukiukwaji was taratibu za wizara ya afya na hakuna connection yoyote cadava saga
This is what we call a rule of law!
Nilifikiri hayo mabaki ya watu yalikuwa ya kujifunzia (Chou kikuu) na siyo ya hospitali! Kwa nini ifungiwe hospitali isiyo husika?
Nilishawahi kusikia kuwa ni exchange program ya maiti silizokosa ndugu kati ya nchi na nchi ili mwanafunz asije akumkuta nduguye. Bt si jibu rasmi its just a hearsay.
kumbe kulikuwa na maudhaifu meng wanayaona wako kimya tu! Ujinga tu hawa watendaji
kumbe kulikuwa na maudhaifu meng wanayaona wako kimya tu! Ujinga tu hawa watendaji
Hebu tuangalie nini kilitokea kutokana na hali halisi, hizi maiti huwa zinatumiwa na vyuo vyote vya u Dr katika mafunzo kwa vitendo hapa ni (IMTU, MHIMBILI, KCMC na vinginevyo) IMTU kama chuo cha sector binafsi tanuru lao la kuchoma haya masalia lilikiuwa limehalibika hivyo walilazimika kutumia tanuru la Mhimbili ambayo ni Hosptal na chuo kikuu cha afya TANZANIA. Tanuru la mhimbili nalo ambalo ni la serikali, na hospital kuu ya TAIFA lilkuwa limehalibika na halifanyi kazi, hivyo kuwafanya IMTU kukosa sehemu ya kutupa haya mabaki yao sehem sahihi. nakubali IMTU wana kosa lakini sio peke yao pia mhimbili ambayo ni hosptal ya Taifa kama tanuru lao limehalibika ni wapi wanatupa masalia yao. hapa ndipo tunaona madai ya DR Ulimboka and Co yana maana gani ambapo serikali iliishia kumng'oa kucha. wa kwanza kuwajibika hapa ni serikali yenyewe na wala si IMTU kama wengi wanavyopiga kelele.
Tatizo la ukaguzi huu na kuchukua hatua wakati huu, inaonyesha kuwa wahusika walikuwa hawafanyi kazi zao. Mapungufu haya si ya siku moja tena yamekuwepo siku nyingi na si ajabu waliyafahamu. Sasa wanachukua hatua si kwa sababu ya mapungufu lakini kwa sababu kuna shinikizo kubwa kwa kosa jingine lililotokea!Hospitali imefungiwa baada ya kufanyika kwa ukaguzi na kugundulika mapungufu