Augustine Moshi
JF-Expert Member
- Apr 22, 2006
- 2,554
- 1,382
Labda awamu hii uwepo wa madini nchini kwetu utakuwa na mrejesho kwa wananchi.
Tumechezewa vya kutosha. Tulikuwa na mineral curse kama DRC, ila kwa hili Jiwe kitaeleweka tu. Wale waliozoea kutunyonya watalia na kusaga meno.
Mimi sio CCM wala CDM. Nashutumu inapobidi na napongeza panapostahili. Kwa hili napongeza sana. Tena sana.
Kaza buti JPM. Hizi ndiyo hatua za kiongozi shupavu. Achana na laana ndogo ndogo kama za kukandamiza Abdul Nondo au Sugu.