Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,099
- 9,268
NIjuavyo Hati ya hilo shamba METL ameweka dhaman bank na amekopa mabilioni, pia hao wenye mradi wa gas walikuwa wanajiandaa kuingia mkataba mnono na METL ili wajenge huo mtambo.
NEWS
Mr Mwapinga said the selected area is owned by Mohammed Enterprises Tanzania Ltd (METL), one of the largest regional conglomerates. The company acquired the site, which was a sisal estate, in the 1960s, but never developed it. METL owns the land through Tasco Estate.
The land has seven different title deeds, and the company is said to have used them to borrow Tsh2.4 billion ($1.5 million) from a bank in Malaysia. The Ministry of Lands wrote a letter to the company notifying them of the government?s intention to revoke the title deed.
Kazi kweli kweli, nani atalipa hii mihela?
Hivi huu mkonge Kwanini usilimwe nchi mzima?
Soko lake nje ya nchi ni kubwa mno.
Hii inafaa iwafikie wale wanaotukejeli pale tunapozungumzia facts za gas industry! Processing Plant investment ni $30 billion... hiyo ni gas plant na sio production cost kule baharini!! $30 billion ni bajeti ya nchi kwa miaka miwili (kwa figure za sasa)Investors select Likong?o-Michinga area as best site for $30 billion plant, leaving Mtwara in the cold. TEA Graphic
By ERIC KABENDERA Special Correspondent
Siku moja nilikuwa naangalia CNN Business Africa. Hili zao ni kama linaanza kupata uhai na nimeshangaa kusikia METL kumbe alikuwa haendelezi shamba la Lindi! Nashangaa coz', according to world data, nadhani Tanzania ni second largest exporter after Brazil na anayehodhi hiyo biz kwa hapa ni METL.. which means; kumbe kuna opportunity to grow kwa kiasi kikubwa zaidi.Kuna wakati zao hili lilikuwa halina thamani kabisa mkuu baada ya viwanda vya nguo nya nje kuacha kutumia mkonge kama malighafi,sasa hivi vipi mkuu wameanza kutumia tena niende kwetu kilosa nikafufue shamba langu la mkonge la urithi??
Na huo mkopo wameusajili BoT kama sheria inavyotaka?NEWSThe land has seven different title deeds, and the company is said to have used them to borrow Tsh2.4 billion ($1.5 million) from a bank in Malaysia. The Ministry of Lands wrote a letter to the company notifying them of the government?s intention to revoke the title deed.
Mkopo usipolipwa, bank inachukua dhamana ambayo kwa hapa ni hilo shamba. Kwa kuwa serikali imenyang'anya na imekubali kuwajibika kwa lolote litakalotokea, bila shaka serikali italipa hilo deni. Naona wachangia kampeni wa chama chetu nao wanaisoma namba, sijui tutatoa wapi hela za kampeni mwaka 2020Kazi kweli kweli, nani atalipa hii mihela?
ole wake amtegemeaye mwanadamu amfanyae kuwa kinga yake ....yeremia 17:7-8
NIjuavyo Hati ya hilo shamba METL ameweka dhaman bank na amekopa mabilioni, pia hao wenye mradi wa gas walikuwa wanajiandaa kuingia mkataba mnono na METL ili wajenge huo mtambo.
Siku hizi wamekuwa ukiwa balaaUkawa hebu njooni mchangie hii mada