Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,011
- 31,798
Tangu lini mfanya biashara akaangusha biashara yake?
Hapa unahitaji kutumia jicho la pili....somesha huko unakokujua ila akifika chuo kikuu...usije kuleta vilio humu kua watoto wanakosa mkopo....Watoto wangu hawatosoma shule za kata fullstop.
Hii ni mbinu ya kuweka tabaka lao tu ndio liendelee kuwa watawala, CEO's and likes halafu sisi makabwela tuzalishe tabaka la wapiga debe na waokota chupa tupu za maji, hii haikubaliki, sipeleki mtoto wangu hata mmoja shule za umma.
Mimi nimesoma shule za umma na shuleni tulikuwa na watoto wa viongozi ma watoto wa wakurugenzi, tulikuwa tunashindana akili tu darasani, na si leo bogus Profesa kama Ndalichake akuaminishe eti mtoto wa shule ya msingi kiburugwa eti anaweza kushindanishwa na mtoto wa FEZA primary school.
Kama una akili unazo tu...kama hamnazo hamnazo tu....Watoto wangu hawatosoma shule za kata fullstop.
Hii ni mbinu ya kuweka tabaka lao tu ndio liendelee kuwa watawala, CEO's and likes halafu sisi makabwela tuzalishe tabaka la wapiga debe na waokota chupa tupu za maji, hii haikubaliki, sipeleki mtoto wangu hata mmoja shule za umma.
Mimi nimesoma shule za umma na shuleni tulikuwa na watoto wa viongozi ma watoto wa wakurugenzi, tulikuwa tunashindana akili tu darasani, na si leo bogus Profesa kama Ndalichake akuaminishe eti mtoto wa shule ya msingi kiburugwa eti anaweza kushindanishwa na mtoto wa FEZA primary school.
Walisema wapi?hahaha ukisoma comment za hao wanaoponda kusitishwa kuweka ada elekezi ndio hao hao walisema kuwa kusiwepo na ada elekezi na wengine walisema kuwepo na ada elekezi lakini mpango huo umesitishwa leo hii wale wale wanaanza kushangilia oooh wameshindwa ooooh wamenywea lakini kelele zilianzia kwa hao hao oooh tunatozwa ada kubwa haziendani na tunachopewa oooh. wanao faidika ni wenye shule wala serikali haipati hasara yeyote...endeleeni kushangilia
Nina uhakika aliesema shule za serikali zimeboreshwa watoto wake hawasomi hizo shule...kama zimeboreshwa naomba RAIS wa nchi atamke hadharani kuwa watoto wa mawaziri,makatibu wakuu,wakuu wa wilaya,wakurugenzi na wafanyakazi wote wa serikali wasome shule za serikali.shule za serikali zimeboreshwa nini....? majengo? madawati? walimu wamelipwa madeni yao? walimu wamepigwa msasa....? au elimu bure ndio kuboresha.....?
Nisomeshe kuanzia Nursery mpaka high school ndio mje kunieleza ujinga wa mikopo?Hapa unahitaji kutumia jicho la pili....somesha huko unakokujua ila akifika chuo kikuu...usije kuleta vilio humu kua watoto wanakosa mkopo....