Serikali imesema matumizi ya kidijiti ya Mfumo wa e-Ardhi yamelenga kuleta mageuzi makubwa katika utoaji wa huduma za ardhi, ikiwa ni pamoja na kuondoa urasimu.
Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Kilimanjaro, Rehema Mdee amesema hayo wakati akizungumza na Radio Kicheko Live kuhusu namna mifumo...
Zaidi ya wananchi 470 wamepatiwa Hatimiliki katika banda la Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakati wa Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba), yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Akizungumza leo, Julai 5, 2026...

Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) imeendelea kuonesha dhamira yake ya kutoa huduma bora kwa wananchi kwa kuboresha mifumo ya utoaji huduma kwa viwango vya kimataifa na kuongeza uwajibikaji.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma kuhusu utekelezaji wa miradi ya maendeleo na fursa za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.