Serikali yaanza rasmi Biashara ya kuuza mafuta nchini

Serikali yaanza rasmi Biashara ya kuuza mafuta nchini

Korosho mlitolewa TKO na sasa korosho ipo icu
Angalia na upande wa pili kiuchumi, ambao ndio wa msingi zaidi na manufaa kwa wananchi na maendeleo yao. Ushindani kwa upatikanaji na bei wa hiyo nishati muhimu ni jambo la kheri kuliko hiyo dhana yako ya kufikirika ikiongozwa na mtazamo hasi.
 
Hapana.mimi naona ni jambo zuri.
Maana faida itaenda hazina..
waache kutegemea kodi.
Wawe na vyanzo vya mapato..
Sio kwamba serekali itauwa competition/itauwa ufanisi/ubunifu kwa kuwa yenyewe hailipi kodi
nchi zinazofata mifumo ya kijamaa ndio serekali zake hufanya biashara.....
kama tz ya Mwalimu Nyerere..
 
Hii miradi ndyo njia ya kupigwa pesa. Hili hatujamaliza tunashika lile.

Kuna watanzania wanakosa maji safi na salama. Et serikali inaanzisha biashara ya mafuta. Alafu watu wakiitukana mnawataftia kesi za kuwabambikizia.

Ningependa kujua kama hii kampuni itaakuwa inalipa kodi na kama haitakuwa ikilipa kodi maana yake mafuta yanayouzwa apo yanatakiwa bei iwe chini kwa 18 kulinganisha na kampuni private.
 
Kwa kweli mimi sio msomi wa uchumi.
Ila kwa akili yangu inavyonituma.
Naona na wao wafanye biashara.
walikuwa na viwanda vya serikali wamevipoteza..
UDA wamegawa.n.k.
Ni muda sasa serikali nayo iingie mtaani kutafuta hela.
Sio kwamba serekali itauwa competition/itauwa ufanisi/ubunifu kwa kuwa yenyewe hailipi kodi
nchi zinazofata mifumo ya kijamaa ndio serekali zake hufanya biashara.....
kama tz ya Mwalimu Nyerere..
 
1. Jambo zuri ila ni muhimu kuweka ulinzi wa uhakika kwakuwa siyo wote watafurahia uamuzi huo, upo uwezekano wa kuvihujumu vituo vitakavyojengwa
2. Vituo viwe na hadhi angalau kuzidi vile vya kuuzia mafuta ya taa
 
Total hapo wajiandae kisaikolojia ila hili swala la serikali kufanya biashara ni kuongeza mianya ya upigaji tu mana usimamizi wao unajulikana ulivyo wa chini, Mtu akiajiliwa serikalini ana relax sana na ivo hio sehemu kugeuka kuwa shamba la bibi kuna umuhimu wa kutengenezea sectòr binafsi mazingira ili wao ndio wafanye biashara
 
Safiiiiii.
mimi naona serikali nayo iwe na vyanzo vyake vya mapato . badala ya kusubiria kodi.
Ni wazo zuri.
Wauze hata machungwa.
Ni wazo zuri sana ila sio kwa level za chini ivo hapo tulitegemea goverment ijihusihe na bulk to ya ilo wese tofauti na kuja uku grounds ambako tayari wafanya biashara wapo unafikiri nini kitatokea kwa vituo kama total ambapo gari za serikali hujaza mafuta
 
Moshi Manispaa
Kilimanjaro ,Tanzania

Stendi Mpya ya Mabasi Ngangamfumuni ya Moshi

Serikali badala ya kujenga Hospitali Mpya kubwa zenye mguso kwa wengi inakimbilia kujenga majengo makubwa kama malls Masoko ya Kimataifa, Machinga Complex, Stendi Kubwa za Mabasi za Kimataifa na sasa Vituo vya Mafuta !

Ona hapa mjini Moshi kwa pupa serikali wanajenga stendi kubwa yenye maduka mengi badala ya kuwekeza ktk Maendeleo ya Watu kwa kujenga hospital nyingine kubwa kama ya KCMC Hospital. Idadi ya waTanzania imeongezeka maradufu hivyo badala ya Stendi za Kimataifa au Masoko mfano wa shopping malls, serikali ingekuwa imewakuna watu kwa kujenga maBugando Hospital na maKCMC Hospital kibao



Source : Global TV online

More info :
Soma zaidi mradi wa Maendeleo ya Vitu badala ya Maendeleo ya Watu ambao kipande mbele siyo stendi bali Hospital Nyingi kubwa ktk Mikoa au Wilaya zao

kituo cha Ngangamfumuni ulisubiriwa kwa muda mrefu na wananchi wa Manispaa ya Moshi Kilimanjaro Tanzania na wadau wa usafirishaji hivyo kukamilika kwake kutaongeza hadhi pamoja na kutoa fursa ya ajira kwa wakazi wa Manispaa ya Moshi.
UJENZI WA KITUO CHA MABASI CHA NGANGAMFUMUNI KUANZA RASMI
 
Back
Top Bottom