Responded Serikali yaanza kulipa Tsh. 3.66 Bilioni kwa wananchi 2,471 wa mikoa ya Simiyu, Mwanza, Shinyanga na Tabora wanaopisha SGR

Responded Serikali yaanza kulipa Tsh. 3.66 Bilioni kwa wananchi 2,471 wa mikoa ya Simiyu, Mwanza, Shinyanga na Tabora wanaopisha SGR

Tanzania Railways Corp

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2018
Posts
274
Reaction score
646
Serikali kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC) imeanza zoezi la kulipa fidia ya Shilingi bn 3.66 kwa wananchi 2,471 wa Mikoa ya Simiyu ,Mwanza, Shinyanga na Tabora, ambao maeneo yao yametwaliwa kupisha Umeme wa msongo mkubwa utakaotumika katika mradi wa SGR kipande cha 5 (Isaka-Mwanza).

Mradi wa SGR ni mradi wa usanifu na Ujenzi kwa muktadha huo, maeneo yanayohitajika kwa Shughuli za mradi yamekuwa yakitwaliwa ambapo Serikali imekuwa ikiwalipa fidia wananchi ambao maeneo yao yametwaliwa ili kupisha ujenzi wa miundombinu ya reli ya kiwango cha kimataifa - SGR.

DVNA4120.JPG

DVNA4977.JPG

Pia soma ~ Mbona ujenzi wa SGR hapa jiji la Mwanza na kwenda Isaka umekwama?
 
Hongera Kwa kazi nzuri

Vipi upande wa kigoma maeneo yaliyopitiwa na mradi malipo yataanza lini?

Asanteni Kwa kazi nzuri.
 
Serikali kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC) imeanza zoezi la kulipa fidia ya Shilingi bn 3.66 kwa wananchi 2,471 wa Mikoa ya Simiyu ,Mwanza, Shinyanga na Tabora, ambao maeneo yao yametwaliwa kupisha Umeme wa msongo mkubwa utakaotumika katika mradi wa SGR kipande cha 5 (Isaka-Mwanza).

Mradi wa SGR ni mradi wa usanifu na Ujenzi kwa muktadha huo, maeneo yanayohitajika kwa Shughuli za mradi yamekuwa yakitwaliwa ambapo Serikali imekuwa ikiwalipa fidia wananchi ambao maeneo yao yametwaliwa ili kupisha ujenzi wa miundombinu ya reli ya kiwango cha kimataifa - SGR

Hivi TRC mko nje ya nchi au mnatumia VPN kuwasilisha taarifa zenu humu janvini?
Just asking.
 
Hivi sgr itaanza safari zake toka dsm had mwz mwaka gani?
 
Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa hebu iwekeni hii vizuri. Watakuwa wamesahau ni Samia kaamua kwa upendo wake binafsi na moyo wa huruma, kawasikiliza wananchi na kusikia kilio chao, kaamua kuwalipa fidia wananchi wake.
serikali sikivu ya ccm itaendelea kuimarisha mtandao wa usafirishaji nchini kwa maslahi mapana ya waTanzania wote,

hizo porojo nyingine nonsense endelezeni ninyi kwa ninyi gentleman :BillyApprove:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom