Serikali yaamua kuwarudishia baadhi ya watu Korosho zao

Mwanzo hawakulifahamu hili,na aliposema atanunua Koroshow zote kwa bei moja bila kujali madaraja alikuwa anamdanganya nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ata miaka yote haijawai kutangazwa kuwa korosho zisizo na ubora hazitanunuliwa na ao wafanya biashara..! Umesikia kashfa nyingi kipindi cha nyuma mpaka korosho kuchanganywa na Mawe kwaiyo lazima kuwe na umakini na ata huko nyuma wafanya biashara hawakuwai kununua korosho kwa bei moja kwa kila daraja! Kununua korosho zote ni zile zinazokidhi soko la dunia si kila ganda la korosho hivi vingine haviitaji matangazo ni suala la kutumia Common Sense tu
 
Kwani waliposomba hizo korosho hawakuhakiki madaraja? Na kwanini toka mwanzo hawakutangaza kuwa watachukua madaraja Hayo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeeleza hapo juu hakuna mtu atanunua kitu ambacho hakina ubora na si lazima watangaze! Ata wafanyabiashara wakipo nunua huko nyuma haikuwahi kutangazwa kuwa zisizo na ubora hawatanunua hili lawewe kujiongeza tu kwa akili yako ya kuzaliwa haliitaji Degree jomba! Kama unaenda uza korosho unanunua korosho isiyo na ubora ili ukaianyie nini wakati unajua kwenye soko la dunia itakataliwa?
 
Nimeeleza hapo juu hakuna mtu atanunua kitu ambacho hakina ubora na si lazima watangaze! Ata wafanyabiashara wakipo nunua huko nyuma haikuwahi kutangazwa kuwa zisizo na ubora hawatanunua hili lawewe kujiongeza tu kwa akili yako ya kuzaliwa haliitaji Degree jomba! Kama unaenda uza korosho unanunua korosho isiyo na ubora ili ukaianyie nini wakati unajua kwenye soko la dunia itakataliwa?
Una ujingaa na ufala wa kiwango cha Fly over mzee yanii hakuna mtu anaweza kuondoa ujinga wakoo hayupooo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili swala la korosho serikali isipoangalia kwa makini itapandikiza chuki baina yake na wananchi. haiwezekani mpige marufuku wanunuzi binafsi alafu mje na hoja mfu eti korosho hazina ubora. Mmehifadhi korosho bila kuzingatia usalama wa uhifadhi mkatia watu hasara alafu mnadai korosho zao ni daraja la tatu, alafu watu wakiichukia serikali mnashupaza shingo na kuwasaka muwapige risasi, mtavuna mlichopanda.
Source: watu ninao wafahamu huko mtwara.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lile ghala la wanajeshi limeziozesha??
 
Waziri mkuu alitumia busara kuwaambia wale wenye makampuni ya kununua korosho waandike barua na kiasi wanacho taka kuchukua kwa ile bei elekezi kuna makampuni yalikuwa yamesha peleka barua dodoma kwa waziri mkuu, Magufuli kwa ubabe wake akampiga stop na tendar wakapewa jeshi haya ndiyo madhara yake

Uchumi ni akili, mtwara watu wamesomeshwa number wafungue akaunti waingiziwe hela hadi leo kimya
 
Jiwe alijingiza kwenye matatizo makubwa sana kwa kujifanya mjuaji kuliko wasaidizi wake. Yaani jitu katiba inaliwekea kabisa wataalam wa kufanya hizo field work, watu wamehangaika usiku na mchana, wamepata wateja wa uhakika, mwisho linaamua kudharau hizo juhudi zote na kukurupuka kupeleka jeshi bila hata maandalizi kwa ushauri wa watu waliopata division zero.

Nadhani hii ni laana ya kutukana wananchi kuwa vilaza. Mungu anadhihirisha ni nani kilaza halisi. Ukilaza wa mtu hujidhihirisha kwenye nyanja nyingi sana katika maisha na siyo kushindwa kukariri notes tu.

Nchi ifike mahali irudi kwenye uelekeo wa watu kufuata sheria zilizotungwa. Haka kakikundi kanakofikiri kuwa kana uwezo wa kuamua na kufanya chochote katika nchi hii bila kuhojiwa kakomeshwe na kudhibitiwa mapema. Haiwezekani mpaka hazina washindwe kumwonyesha CAG Trillions of money zilivyotumika kisha tudanganywe ni uzalendo. THIS IS RUBBISH
 
Baada ya sakata la korosho, serikali inafikiria kuwapa wakulima ruzuku? Walishafikiria jinsi hawa watu watakavyoishi?
 
Una ujingaa na ufala wa kiwango cha Fly over mzee yanii hakuna mtu anaweza kuondoa ujinga wakoo hayupooo...

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua sis waafrica tunamatatizo mengi sana ya kujitakia, sijui tumelaaniwa na nani..

*Juzi watu wa mtwara waliandamana kumpongeza Magufuli.

*Juzi kati tena wamechoma mashamba ya korosho yanayo sadikika ya Zitto, wakidai anawa chonganisha wakulima na rais

*Aliyekuwa akiwatetea walimgeuzia kibano haya sasa korosho zao baada ya kuhifadhiwa na kuharibika wanakuja na kisingizio cha korosho hazina ubora.

Kukosa elimu ya kujitambua ni shida sana,
 
Back
Top Bottom