Serikali yaamua kuwarudishia baadhi ya watu Korosho zao

pakaywatek

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
4,035
2,000
Hili swala la korosho Serikali isipoangalia kwa makini itapandikiza chuki baina yake na wananchi.

Haiwezekani mpige marufuku wanunuzi binafsi alafu mje na hoja mfu eti korosho hazina ubora.

Mmehifadhi korosho bila kuzingatia usalama wa uhifadhi mkatia watu hasara alafu mnadai korosho zao ni daraja la tatu, alafu watu wakiichukia Serikali mnashupaza shingo na kuwasaka muwapige risasi, mtavuna mlichopanda.

Source: Watu ninao wafahamu huko mtwara

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
2,444
2,000
Hili swala la korosho serikali isipoangalia kwa makini itapandikiza chuki baina yake na wananchi. haiwezekani mpige marufuku wanunuzi binafsi alafu mje na hoja mfu eti korosho hazina ubora. Mmehifadhi korosho bila kuzingatia usalama wa uhifadhi mkatia watu hasara alafu mnadai korosho zao ni daraja la tatu, alafu watu wakiichukia serikali mnashupaza shingo na kuwasaka muwapige risasi, mtavuna mlichopanda.
Source: watu ninao wafahamu huko mtwara.

Sent using Jamii Forums mobile app
Korosho inayonunuliwa ni Daraja la Kwanza na la Pili tu..! Hilo daraja la Tatu ata huko kwenye soko la Dunia huwezi kuuza utanunua yanini?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom