Serikali yaamua kubana matumizi; Mbowe kashinda hoja

Sasa hiyo inahusiana nini na Mbowe? jamaa kwa kudandia, hamuwachi.
fikiri kwa kutumia akili wewe bibikizee,hujui aliyekuwa akiibana serikali yako ya matapeli bungeni ni nani?alimbana waziri kwa kumtaka atamke ni lini wataanza kubana matumizi ya serikali but waziri wako kilaza akapotezea siku ya majumuisho.time will tell.
 
Pooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Sasa hiyo inahusiana nini na Mbowe? jamaa kwa kudandia, hamuwachi.

mh.aikael Mbowe alisema posho toweka,na kama ndo ivo basi kafaulu! Wakishapanda mabasi,hapa posho ya mafuta,imewekwa panga. Posho ya kumliIla kwa mwenye bichwa ngumu itamchukua mwaka mzima kuelewa.
 
Huo ni mpango utakaotekelezwa na utakuwa endelevu hadi maofisini yatatumika mabasi maalum kulingana na kada za watumishi ishu ya ufisadi imetinga kwa wafadhili wanashangaa serikali inavyojiendesha kitajiri kuliko wao wenye fweza kama nawaona watu watakavyolipuka wagome kwnd kazini tuone
 
Uamuzi huu unawaumiza wafanyakazi wa kada ya chini hususani madereva ambao nao walikuwa wakijiongezea kipato kutokana na posho za malazi wakiwa Dodoma. Hakuna matumizi ya mkubwa yatakayopungua.

Wataanza kupeleka receipt za taxi kwa madai kwamba walitumia taxi kwenda kwenye vikao, na hakuna mhasibu ataye-question receipt iliyopelekwa na Waziri/Naibu Waziri kwa madai ya malipo. Utashangaa ukiambiwa Mheshimiwa alikodi taxi akalipa shilingi laki kwa siku nzima!

Kubana matumizi kunahitaji a comprehensive plan ambayo inaweza kuziba mianya mingi ya matumizi mabaya/yasiyo ya lazima ya fedha za walipa kodi.
 
Sawa,lakini that is still cosmetic.Mawaziri wanyang'anywe kabisa mashangingi,chai maofisini ziachwe, seminar zisizo za lazima ziwe scraped nk.nk.
Hatimaye serikali imeafiki malalamiko ya kambi ya upinzani juu ya kupunguza kubana matumizi baada ya kupitishwa azimio katika baraza la mawaziri linalowataka mawaziri wote wanapoelekea bungeni kupanda mabasi maalum tu na si kila mmoja kuondoka na mkoko wake pia na maofisa wote na wakuu wa idara yote nao imeamuliwa kuwa watakuwa wanaenda bungeni kwa mabasi maalum maana wakati wa bajeti imegundulika karibu magari yote wizarani yamehamia dodoma!taarifa rasmi itatolewa na pinda mara atakaporejea bungeni. Source bbc
 
Nina wasiwasi na mtoa habari,iwapo kuna mwanajamii mwingine anayo information atujuze,issue imeongelewa bbc wameitoa wapi iwapo haijanzungumzwa bungeni?
 
So hard to be kilaza, you guys you have to read between line so you can get a message clearly unless mtabaki kumuulaumu aliyeandika thread hii. Hivi kuula inamaana mnayoifikilia tu! Jamaa katumia neno kuula akimaanisha Mbowe kafanikisha kile alichokuwa anakipigania bungeni.

A friend of my enemy is my enemy too.
Tap tap tap tap tap tap
 
Hongera Mr President Kikwete kwa kukubali Ushauri wa Chadema hii ndio sifa ya Mkuu wa Nchi kama Tanzania, japo Kaka ni ngumu Kuukana U Luteni Kanali wa TPDF Long time,
 
Back
Top Bottom