Serikali yaamua kubana matumizi; Mbowe kashinda hoja

Yanayoiumiza nchi hii kwa sana sio haya. Tunaigharamia sana SIASA. Ufisadi, rushwa, ubadhirifu, wizi bado vinaendelea. Tunabaki kukimbizana na mambo madogo hayo.
 
Dr Slaa aliwahi kusema kwenye kampeni mwaka jana kuwa serikali ya CCM inatekeleza maagizo ya CDM. Huu ni ushahidi mwingine. Sasa CDM jiandaeni kushika dola tu 2015
 
Yanayoiumiza nchi hii kwa sana sio haya. Tunaigharamia sana SIASA. Ufisadi, rushwa, ubadhirifu, wizi bado vinaendelea. Tunabaki kukimbizana na mambo madogo hayo.

siku zote unaanza na mambo madogo ndipo unaenda kwenye makubwa ..... hata pesa huanza kuhesabiwa kwa cents mpaka kufikia millions
 
Sijali sana kama ni hoja na nani au nani.....
Ishu ni kwamba serikali ina matumizi mengi mno ya ovyo....kwa hela za maskini!
 
Sasa hiyo inahusiana nini na Mbowe? jamaa kwa kudandia, hamuwachi.
We kwani ujui kuwa mpango mzima wa kupunguza matumizi mabaya ya pesa za serikali ni mkakati wa CDM ambapo Mbowe ni mwenyekiti wake; Wenzio wana-desa tu kila kitu kwa CDM.
 
Sasa hiyo inahusiana nini na Mbowe? jamaa kwa kudandia, hamuwachi.

Sasa si ndio mkuu wa kambi ya upinzani bungeni na pia ni hoja ya chadema na imepita na kufanyiwa kazi. Kuula sio kupata cheo au pesa tu hata kama mawazo yako yatapokelewa vizuri na lkufanyiwa kazi. CHADEMA inaongoza nchi sasa hivi jamaa wamebweteka na vyeo.
 
mbowe aula????????
edit hii thread iendane na ulichokiandika. hizi ni lugha zinawafaa maf is Adi na siyo Kamanda Mbowe.
 
Chadema ndiyo inayoongoza nchi hii tulisema sukari bei ikashuka sasa kupunguza matumizi na bado umeme ccm watekeleze tu sera za cdm wasione haya
 
Hapa Mbowe ameula kivipi sasa!! Na hayo mabasi maalumu atapanda waziri na dereva wake tu au yakoje, tuelezee. Na wala siuoni uwezekano wa magamba kufanya maamuzi ya namna hii kwa sasa.
 
Hatimaye serikali imeafiki malalamiko ya kambi ya upinzani juu ya kupunguza kubana matumizi baada ya kupitishwa azimio katika baraza la mawaziri linalowataka mawaziri wote wanapoelekea bungeni kupanda mabasi maalum tu na si kila mmoja kuondoka na mkoko wake pia na maofisa wote na wakuu wa idara yote nao imeamuliwa kuwa watakuwa wanaenda bungeni kwa mabasi maalum maana wakati wa bajeti imegundulika karibu magari yote wizarani yamehamia dodoma!taarifa rasmi itatolewa na pinda mara atakaporejea bungeni. Source bbc
Sasa hapo huyu Mbowe wenu kaula kivipi? Nalidhani kaongezwa posho!
 
I doubt if ths is a true story
pia nina wasiwasi. ni ngumu sana kuwakusanya hata wakuu wa idara ndani ya basi moja iwe mawaziri? but all in all. mimi nipo hapa dodoma. na nimenotice kuwa mawaziri wengi na makatibu wa wizara pia viongozi wao waandamizi sasa hivi wanatembelea GX. nyingine unaona kabisa ni zile za zamani. ila mkuu wangu wa kazi anatembelea V8. sijui yeye halimhusu au circular haijafika? nawakilisha
 
Back
Top Bottom