Serikali yaajiri walimu hewa(?) Ushahidi huu hapa...

Umechangia upuuzi kajambee ulale nyambafuuu!
 
Mnh&hhh&hh Wakuu kwelii!!??

Mbona hii inataka kuwa hataRi kwa USALAMA wa TAIFA.

TUNAOMBA UFAFANUZI TAFADHALI.
 
Yatakuwa makosa tu ya kibinadamu. C watu hawa walofanya io kazi sio malaika, hakika
 

Daah kwa huo wizara ambayo iko chini ya ofisi ya 'mkuu' mwenyewe imekosa umakini sio?
 
Serikali haiwezi kuajiri wote...kuna private sector ...kuna Taasisi na kuna mataifa ya nje yenye uhitaji
Ni kweli kabisa na ndio maana mka-duplicate majina kwny hio list.
 
Kwa ufuatiliaji huu inabidi uelewe kwa nini jiwe anatamani awe malaika na kuizima mitandao yote ya kijamii.

Kwa ufuatiliaji huu inabidi uelewe kwa nini mtu kajitoa kwenye open government partnership.

Hongera sana mleta uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…