Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,421
Katika ajira 4549 zilizotangazwa wiki iliyopita, baadhi ya majina yameajiriwa mara mbili katika vituo viwili tofauti. Ukifatilia katika matokeo yao ya NECTA kwa mwaka husika, unagundua kuwa namba hazikujirudia.
1.Hawa hapa walimaliza F4 mwaka 2010
Matokeo ya NECTA ni namba moja tu
2. Hawa walimaliza F4 2012
Matokeo ya NECTA ni namba moja tu
3. Hawa hapa mmoja alimaliza F4 2011 na mwingine 2015
lakini jambo la kushangaza ni kwamba mwaka 2015 jumla ya idadi ya watahiniwa iliishia 0126 wakati huyu akionekana kuwa na namba 0131.
2011;
2015;
4. Cheki hawa hapa, mmoja kaongezewa SURNAME halafu mwingine namba yake ya F4 imeandikwa kwa irabu 'O' ilihali matokeo yanaonesha aliyefanya mtihani ni mtu mmoja tu.
5. Hawa hapa hawakusoma AGRICULTURE F4. Huyo aliyemaliza F4 2016 alipata 'DIV ZERO' na ni MALE lakini katika ajira ameandikwa FEMALE. Je, aliendaje advance? Hata kama angeenda, kuna F4 wa 2016 wa 'School candidate' aliyekwisha maliza SHAHADA?
The Beautyful Ones Are Not Yet Born!
HAPPY MAY DAY!